Search results

  1. M

    Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Sababu ya kusimamishwa ni nini? fafanua kidogo ueleweke.
  2. M

    Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Kusema ukweli hawa wanasiasa wananichefua sana, maana siyo wakweli, mbona hawasemi habari za escrow, kagoda, meremeta, wakati zile ndiyo hasara na ufisadi mkubwa sana wenye kutia aibuy.
  3. M

    UKAWA wanaweza kutumia muda wote kuwajibu Mkapa, Mwinyi na Makongoro

    Kama hizi unaona ni hoja, basi wewe una matatizo, tena makubwa sana. Inabidi tuionee huruma nchi yetu na watu wetu. Jana nilitarajia kupata taarifa na mipango mathubuti ya kuwatoa watanzania katika ufukara na umaskini uliokithiri, kinyume chake yalikuwa mambo ya ajabu tu. Siiiiiiiiiiiipendi...
  4. M

    Kuna Watu Donge linawakaba kwa hii Picha!

    Hawakujua wana nguvu kiasi gani. sasa inakula kwao, yule mzee alisema patachimbika, kumbe hata uwezo wa kupachimba alikuwa hana. Sasa anaona aibu, na kajimaliza kisiasa na heshima aliyokuwa ameijenga yote imepotea kwa kuingia katika ushabiki asioujua. Sasa naona Sofia Simba kishamkimbia mzee wa...
  5. M

    Raila Odinga atua Dar es salaam kumtembelea Magufuli kwa kificho kikali

    Acha uchonganishi, kifich kiko wapi
  6. M

    Salim Ahmed Salim ashawishiwe kuchukua fomu haraka

    Kwa hali ilivyo jamaa anatosha na ingekuwa vyema akajitokeza.
  7. M

    J. Makamba: Walioua viwanda wasichaguliwe

    Ni kauli nzuri na ya kizalendo
  8. M

    Wassira, Umefanya kosa kubwa na Hili utajuta....

    Achana na mambo ya ukabila na ukanda, angeweza kutangaza hata angekuwa mtwara
  9. M

    Inaonyesha kuna Mengi sana nyuma ya ACT-Wazalendo

    Mbona unaleta mambo ya kusadikika
  10. M

    Jimbo la Magu, Mwanza

    Kuna kijana mchapa kazi anaitwa Seseja nimesikia anakuja kuikoa Magu katika ahadi hewa na umasikini uliokidhiri. Cha msingi mjue hamchagui mfadhiri bali mnachagua kiongozi iliaweze kuwaongoza katika kutambua fursa zilizopo na namna bora ya kuzitumia. Ni kijana makini sana. Ngoja nifuatilie...
  11. M

    Ni Nape Nnauye au Suleiman Methuu jimbo la Mtama 2015

    Membe ni mtu makini, msiyumbishwe na propaganda za kisiasa, Mh. anachafuliwa sana kutokana na mbio na Urais, hata hao wanaojiona ni bora kuliko Membe nende majimboni mwao mjionee uhalisia.
  12. M

    CAG mpya Prof Assad Kufanya marejeo ripoti ya account ya Tegeta Escrow

    Huyu jamaa alikuwa mwenyekiti wa bodi ya NBC wakati NBC inaelekea kufa, hana jipya lolote, sijui kama anaweza kuvunja record ya Utto
  13. M

    Viongozi wetu na matokeo mabovu

    Ahahahahahaha, mwinyimpeku
  14. M

    Sh149 million for Kibaki, Moi retirement plan

    "Survivor of the fittest"
  15. M

    IKULU Wamepotoka au Wamepotoshwa?

    Ile habari iliandikwa kwa kiingereza labda ilikuwa haikueleweka
  16. M

    Wizi wa nyaraka Ikulu: Uzalendo au usaliti?

    Zile hazikuwa nyaraka za serikali, zilikuwa nyaraka binafsi za mipango ya Mzee Jumbe, kwa hiyo kama kumsaliti alimsaliti Mzee Jumbe. Zile nyaraka zilikua za mipango ambayo ilikuwa haikubaliki na serikali kwa kipindi hicho, hivyo nyaraka hizo hazikuwa mali ya serikali.
  17. M

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Toa vielelezo siyo maelezo ya jumla jumla tu kama mlevi klabuni, tenda ya plumbing ndiyo imemfanya awe tajiri? acha hizo, hazina mashiko.
  18. M

    Kenya Airways wamenunua Dreamliner sita, sisi tunakodi ka ndege ka kwenda mikoani kwa mbwembwe...

    Lukosi, wewe tena, watu wakisema kuwa wamechoka unasema hapana, hili umeliona, basi hili ni moja tu kati ya mengi ambayo yapo, na hakika ungeyaona ungesinyaa.
Back
Top Bottom