Search results

  1. J

    Mdahalo wa Ugomvi: Ati Nyerere alikuwa Dikteta; aliua wengi...

    Wabunge 8 wa bunge la 1965 walifukuzwa bungeni sababu ya kudai mfumo wavyama vingi akiwemo Joseph kasela bantu wa tabora na modestus chogga wa iringa kusini na waliwekwa vizuizini mpaka wakafa
  2. J

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Dr.slaa halingani na ZZK kwa lolote,Dr.slaa ni intellectual na mtu makini sana,mwadilifu na mzalendo kwa taifa lake
  3. J

    Unafiki wa wabunge huu hapa

    Umaarufu kisiasa unatafutwa kwa njia nyingi hata hii ni mojawapo kwa wabunge kuwanafikia wananchi
  4. J

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    Kamanda umeelekewa,ila suala la matawi hadi mashinani la msingi sana na pia kadi za CHADEMA ni hadimu sana halafu watu wanahitaji kwa wingi ni changamoto sana
  5. J

    Wabunge wa CHADEMA Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kuhojiwa

    Ni hatua nzuri na hii itafaa ili kutofautisha tabia ya mtu binafsi na sera na dira ya chama.
  6. J

    Kikwete aendelee muhula mwingine

    Hujitambui,kaongolee huu uharo kwenye vijiwe vya kahawa
  7. J

    Job Ndugai asema wabunge wa bunge la jioni hawako sawa, walevi!

    naye ndugai atakua labda alilewa,alivuta sigara mbalimbali au alilamba kitu akashindwa hata kuona vizuri sababu ya stimu,naye hatumwamini
  8. J

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Hakuna hoja yenye mashiko hapo,Zitto umejimaliza mwenyewe na mbio zako za sakafuni,jitathmini wewe mwenyewe kabla yake kuwasonda vidole wengine,wanasiasa vijana mnalewa sana sifa jiangalieni na kati yenu hakuna wa kumpa nchi wote wahuni tu.
  9. J

    Politics And Drugs

    Dhaifu,ndomana mwalimu hakutaka apewe enchiladas 1995 alishamsoma
  10. J

    Katibu mkuu nishati na madini kikaangoni kesho

    Deo mwanyika anataka ubunge na chama gani huko njombe kusini?
  11. J

    Power Breakfast na Kimombo- Super Sport Interview

    Ni ncha kali tu,mchomvu,B12 wote chali shule hamna pale
  12. J

    Power Mabula: Mtu aliyetikisa enzi zake!

    pawa mangwana sa hivi anatangaza kiss fm kipindi kinaitwa dunia duara na usiku vile vipind vya salam za kukesha,hop ni huyo nilimsikiliza rfa kipind cha sitasahau na aliongelea hayo matukio ya mazingaombwe mnayozungumza
  13. J

    Agost 27: Hukumu ya mch. Mtikila kwa kusambaza waraka chochezi dhidi ya Rais Kikwete

    mtikila hajakurupuka kuna kitu hapo,huu waraka unapatikana site gan au umepotezwa?
  14. J

    Wapenda Mabadiliko wapo wapi?

    mharir mmoja leo ameandika tahariri ya pongez kwa huyo wazir,ingawa mimi siungi mkono nimpongeze kwa kupoteza roho za watu wasio na hatia kwa uzembe huo ni upuuzi,kwa kule CUBA huyu waziri tunanyonga tunahitaji wanaharakati wawajibikaji km CHE,R.I.P the butcher of LA CABANA'
  15. J

    Hawa SSRA wanatumiwa na nani?

    Ndugu wana JF kuna dhana mbalimbali zimeibuka juu ya sababu ya mabadiliko ya sheria ya mafao ya kujitoa, dhana hizi ni 1. Inasemekana NSSF na PPF wanajiandaa kuwachotea CCM fedha za kampeni 2015 2. Inasemekana baada ya serikali kukopa fedha nyingi kwenye haya mashirika yaani NSSF na PPF sasa...
  16. J

    Urais, Halima, Nassari na Kigoma

    Shida ya zitto analewa sana sifa nilwahi kuongea kwa muda mref wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwan kirumba hapa mwanza vijana walikua wakimshabikia agombee urais atapata urais kwan anakibalika na umati ilikua mkubwa sana alionekana kuhamanika na kuvimba bichwa na saikolojia yake kwa kumtazama...
  17. J

    M4c - busega

    Hongera kamanda,fanyeni kwa maendeleo ya busega ila msifike hatua ya kugombea jimbo kwa kuutaka ubunge na kupigana majungu hamtaeleweka na wananchi,until victory forever
Back
Top Bottom