Search results

  1. S

    Natafuta mume, umri kuanzia miaka 30

    Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu. Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30. Mwenye nia ya dhati aniPM.
  2. S

    pray for me

    Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho wa siku tuoane,nimeomba sana kwa hili lakini sijafanikiwa,ni muda sasa nimekuwa nikisali kwa ajili...
  3. S

    Natafuta boyfriend

    Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo, Atakaye meet vigezo ani pm.asante.
Back
Top Bottom