Search results

  1. D

    Simba vs Azam leo jumanne sep.11, 2012

    Watauonyesha channel gan?
  2. D

    Wananchi wazuia msafara wa Mbowe

    Aise..!nimeinda hiyo..M4C mwanzo mwisho...
  3. D

    Jinsi ya kutumia simu ambayo ina usb ku access internet kwenye kumputa

    Kama una samsung GT-S3653 inakuwaje ? msaada jamani..
  4. D

    Msanii Roma Mkatoliki anatumiwa na CHADEMA ktk majukwaa ya burudani kuiponda serikali

    acha upumbavu we gamba, kwani msanii ni kioo cha jamii na kazi yake kuelimisha, kuburudisha na kusimumua, yaan m2 akitoa elimu kwa jamii bac ni mfuwac wa cdm. Achen unyanyasaji wa kipumbavu
  5. D

    Tundu Lissu hukumtendea haki Pinda kumtaka ajiuzulu

    Alilosema Pianda jana 'liwalo na liwe' ilikuwa siyo kejeli.? Au mnaona vya wengine tu..na bado hadi 2015 yatafanyika mengi. Jasho la mlpa kodi hilo mtalioga mwaka huu..
  6. D

    Serekali yakacha taarifa kuhusu mgomo wa madaktari

    Wajifanya mbabe kumbe hamna lolote..! PM dhaifu
  7. D

    Serekali yakacha taarifa kuhusu mgomo wa madaktari

    Wajifanya mbabe kumbe hamna lolote..! MP dhaifu
  8. D

    Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

    Duh..! Hi ndo serikali ya ccm, wanafanya watakalo...!
  9. D

    Jamani CCM iende wapi?

    Mochwali halaf kaburini kisha kuzimu mwisho kabisa motoni...
  10. D

    Zitto vs Waziri wa ulinzi bungeni leo

    wewe na waziri wako wote ni walewale, mpo kwa maslahi yenu binafsi na chama lenu
  11. D

    Wenje: Serikali yetu inaendeshwa abnormal na abnormalities government

    Rais ni dhaif,serikal ni dhaif na ccm ni dhaif....
  12. D

    Chadema kiboko!

    yaani akili yako sawasawa na jina lako
  13. D

    Ukabila waibuka Bungeni, wachaga wadaiwa kuididimiza Lindi na Mtwara

    Mi naona wabunge wa viti maalumu hawana cha ziada zaidi ya majungu, najua huyo mama yupo kwenye kazi yakutaka kukipaka matope chama cha CDM kwasababu ni chama chenye nguvu na ushawishi mkubwa. Inamaana chama kilicho madarakani ni CDM.!au rais na waziri mkuu ni wachaga au niwa chama cha cdm...
  14. D

    BARAZA la Kikwete Vs BARAZA la Mawaziri Kivuli, dhana ya ukubwa wa serikali na matumizi makubwa

    Hao jamaa wanatunyanyasa kwa kweli, trilion 3 na bilion 700 wapi kwa wapi..!kama MUNGU angejaribu kuwaonjesha maisha anayoishi mtu maskini wala wacngejipangia kiasi chote cha pesa..! Ila watanzania wenzangu tujitume wao waache wale kupitia jasho la mnyonge..! Kila lenye mwanzo lina mwisho.
  15. D

    (Maajabu) Wanafanya nini hawa?

    Kila mtu na starehe yake..!kukata gogo nako n starehe
  16. D

    Naomba link ya Wimbo wa chadema

    Peopleee....!
  17. D

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Mimi nadhani viongoz wa CCM na wafuasi wake wote ni dhaifu, kwa sababu huwez ukatetea ujinga na upumbavu unaofanywa na watawala wa nchi. Raisi ni dhaif tena dhaif kabisa asiyejitambua..
Back
Top Bottom