Search results

  1. M

    Waumini wa Kakobe watimua wahandisi wa Tanesco

    Hii inaonyesha watu hawa wanaweza kujitoa muhanga kwa ajili ya Kakobe na sio Mungu wao. Kwani tangu lini Mungu alipingana na maendeleo? ndiyo maana Mungu aliwahi kulalamika kuwa "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". sorry ni kitabu gani wala verse lakini habari ndiyo hiyo.
  2. M

    Kikwete's most embarassing statements...

    "nataka kulibadilisha hili jiji lenu liwe kama carlifornia" Pengine alimaanisha kuwa ataliboresha jiji la mwanza na sio kuli substitute. Mbona bongo tunamisemo mingi tu ya kimtindo huo? kama vile Bongo New York, hii huwa haimaanishi kuwa bongo ni sawa sawa na NY bali inaamanisha kuna maendeleo...
  3. M

    Mashindano ya 'U-Miss' Yamezidi. Michezo Mingine Tumeisahau?...Twisted Priority?

    Asante sana kwa kunifungua macho, na kidumu chama cha maf. Nimefurahishwa na jinsi jamii ya wana JF wanavyo jadili mambo. Hata hivyo nina maoni kidogo. Mi ni mmoja wa wanariadha mstaafu ambaye siye rasmi, na nina machungu mno na nimechoswa sana na hoja na hoja zenu za nyingi za kisomi na...
  4. M

    Mashindano ya 'U-Miss' Yamezidi. Michezo Mingine Tumeisahau?...Twisted Priority?

    "........how long shall they...........while we stand a side and look? ohh some say its just a party of it..................." Bob Marley. How long?
  5. M

    Mashindano ya 'U-Miss' Yamezidi. Michezo Mingine Tumeisahau?...Twisted Priority?

    Kama mpaka leo hujui kama kenya kwenye mashindano ya Golden league duniani wamewasilishwa na zaidi ya wanamichezo 200, tanzania 0. Kwenye kwenye world championship germany kenya zaidi ya 80. bongo 5. hii inaonyesha wewe ni mmoja kati ya hawa (i) inaonekana wewe sio mwanamichezo kwani ungekuwa...
  6. M

    Mashindano ya 'U-Miss' Yamezidi. Michezo Mingine Tumeisahau?...Twisted Priority?

    Kiufupi sipendi kuwalaumu walimbwende wetu la hasha, nichangamoto fulani tu. Je nini kimefanya mashabiki wa michezo ya ukweli, ambayo ni kipimo cha vipaji na juhudi za washindani, wakahama na ghafla kuanza kushabikia ulimbwende? Je ni ngono? je wabongo tunapenda bongo kiasi hicho? maana yake...
  7. M

    Mashindano ya 'U-Miss' Yamezidi. Michezo Mingine Tumeisahau?...Twisted Priority?

    Ukiangalia nchi za skandinavia utakuta kitu miss fulani hakina nguvu vile, ni kajikitengo fulani tu kananako fadhiliwa na makampuni pamoja na maduka ya mavazi na urembo. Nchi hizo bajeti zao za michezo ziko juu kuliko, kwanini basi wanafanya hivyo? kuimarisha, kulinda na kujenga mazoea ya...
  8. M

    Mashindano ya 'U-Miss' Yamezidi. Michezo Mingine Tumeisahau?...Twisted Priority?

    wakati Sango Kipozi na dada mmoja alikuwa akiitwaa Tausi, marehemu sasa hivi(rip) walipo fanya mashindano mdada aliyejazia jazia na figure 8 fulani ndío alishinda, watu walikuwa wakipiga mayowe kuashiria mshindi, ghafla zikaja western influence, tv and whata have you, mara figure no. 1 ikawa ndo...
  9. M

    Mashindano ya 'U-Miss' Yamezidi. Michezo Mingine Tumeisahau?...Twisted Priority?

    Kila kona ninayo angalia nchini Tz, jambo lolote linalo husu burudani na michezo limetawaliwa na walimbwende na Lundanga wao. Nnavyo kumbuka mambo haya hayana hata miaka kumi nyuma, cha ajabu ma miss wetu wameua michezo mingi ya maana kama netiboli, basket, kuogelea pamoja na michezo mingine...
  10. M

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    sisi tutasubiri tu mpaka hapo hao miungu watu watakapofurahi.
  11. M

    Kikwete siyo safi! - yes I said it!

    Hongera kwa uchambuzi wako ndugu MWANAKIJIJI. Pamoja na mambo mengi ya busara forum hii inavyo jitahidi kufanya ili kurekebisha maadili, nami ningependa kuchangia kidogo. Japo wahenga husema kuwa samaki mmoja akiooza basi wote hali moja, kwa upande wa kapu la CCM na serikali yake samaki wote...
  12. M

    Museveni, Kikwete disagree on exports

    Mimi nadhani hapo JK ameongea jambo la mbolea, kwani kudemand fair play ni haki yake ndani ya utandawazi. Hao wazungu na wamarekani wanatakiwa kupractice what they preach, kama ni free market, basi wasichanganye na protectionism wakati huo huo. Kwa mantiki hiyo JK ana haki ya kudemand fair play...
  13. M

    Bunge lapitisha bajeti ya mahakama Kadhi

    'Harufu ya dini inanuka tanzania' tunakoenda ni kuchafu, kisa maslahi ya wachache.
  14. M

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Inaonekana wakristo wanatetea ukristo na waislamu wana komaa na mahama zao za kadhi.Kwa kifupi udini unaivagaa Tanzania, yaani ni vigumu kuamini kwamba sasa tunakaribia kuvuna dhambi ya dini. Nadhani Kingunge ana point kuhusu waraka wa kanisa Katoliki, ili kuziba mianya ya mgawanyiko wa nchi...
  15. M

    ‪DPP atumie madaraka yake kisheria ipasavyo, asisubiri maelekezo ya wanasiasa ili afanye kazi‬

    Kwani DPP, hawezi kushtakiwa na umma au mtu binafsi kama ushahidi upo kuwa anakiuka miiko yake ya kazi? kama anaenda kinyume na maslahi ya nchi?
  16. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    kwani mahakama za kadhi za Zanzibar anazigharimia nani?
  17. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mkuu Makandara, hongera kwa hoja zako na majibu uliyo mjibu mwanakijiji. Mimi binafsi naona kwamba wewe ndiye unayeshindwa kufikiri nje ya boksi la udini, kwani kule kuwepo kwa sheria za kiislam tu kuna leta harufu ya mgawanyiko katika jamii. Halafu jua kuwa wakristu enzi za yesu na kabla ya...
  18. M

    Meremeta & TANGOLD Revealed!

    I think the speaker is confusing me, on which side is he? When Kikwete was giving immunity to Mafisadi, he disagreeing with him saying that the president should stand for the benefit of the nation. Now he is granting immunity to Meremeta, something must be wrong somewhere, I just figure it out
  19. M

    Jinsi tunavyoendelea kuliwa kupitia BoT!

    Yaaani pamoja na mafisadi kibao kukalia joto ya jiwe, pamoja na kuwa jamii sasa imeanza kufumbuka macho, yaaani bado kunawengine wanaendeleza libeneke la ufisdi, kweli wanachama wa ufisadi wanaroho ngumu. Lakini najiuliza wanajidaia kitu gani hasa?
Back
Top Bottom