Search results

  1. Z

    Majina ya interview afisa tarafa yametoka

    kwa wale wadau walioomba ingieni website ya utumishi
  2. Z

    Naomba taarifa juu ya ajira za utumishi maafisa tarafa

    mm pia niliomba na huwa nafuatilia kwa ukaribu sana ajira na interview za utumishi bado hawajaita mkuu usiwe na shaka endelea kuvuta subira na kufuatilia kwa umakini sana,,
  3. Z

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    kuhusu mashamba sijajua coz mostly wanaongelea mashamba ya kukodi labda tuulize wadau wengine wanasemaje
  4. Z

    Barua ya wazi kwa dada zangu walio single...................!

    asante mkuu hii mada ni nzuri sana namkumbuka dada yangu aliyefikisha hadi 40 hajaolewa mwisho wa siku akaangukia kwenye kaa la moto ili tu na yeye aonekane ameolewa daah,,,
  5. Z

  6. Z

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Nashukuru mdau kwa ushauri mzuri coz hilo pia ni jambo la msingi na pia ni tatizo kubwa kwa maendeleo ya nchi hii just imagine watu hawana uwezo wa kulima eneo hilo lakini pia hawataki wanaoweza kulima walime.Ila nashukuru kwa kunijulisha ilo mapema ili nisijeingia kichwa kichwa nikijua kila...
  7. Z

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Wana JF nataka kujaribu Kilimo cha Mpunga cha umwagiliaji Dakawa Naomba kujua taarifa zaidi kuhusu kilimo hicho katika yafuatayo, 1.Matatizo yanayokumba kilimo hicho 2.Soko la mpunga kwa sasa likoje 3.Faida zake na ekari moja unaweza kuproduce gunia ngani. wanajamii nahitaji msaada wenu ndio...
Back
Top Bottom