Tuendelee wala tusiache KUWAOMBEA JPM na KM,lakini ile sheria kuwaweka watu kizuizini ilifutwa ?ndio wakati wake kwa hawa waliofanya TZ shamba la bibi.
MULUNGUSHI iko Zambia,na club hiyo ya Kaunda,Samora na Mwalimu iliundwa kuzungumzia ukombozi kusini mwa Afrika,nadhani ilikuwa ndio mwanzo Front states...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.