Search results

  1. SIKAUKA MHAPA

    Maxence Melo na wamilliki wengine wa mitandao wapinga muswada wa makosa ya kimtandao

    au lile koti la mzee mzima kukosea kulifunga.
  2. SIKAUKA MHAPA

    UTUMISHI: Trade Officer II written interview

    vigezo na masharti kuzingatiwa
  3. SIKAUKA MHAPA

    Barua ya kupangiwa kituo cha kazi utumishi

    unclee, hongera sana mungu akupe utumishi mwema wa umma, mimi mwenyewe nimechaguliwa kwenda kufanya oral interview tarehe 1/4/2015 hivyo tuombeane ipo siku tutakutana
  4. SIKAUKA MHAPA

    Nida

    wasalimie angalieni dege lenu liende salama ysiwe ya ujerumani
  5. SIKAUKA MHAPA

    Kuitwa kwenye usaili Serikalini

    Kaka usiombe kukutana na pepa maswali manne tu dakika arobaini kama sekunde nne, ukizingatia ulimaliza chuo miaka 5 iliyopita. mungu namwomba anisaidie kuleta miujiza niitwe kwenye oral. kweli utumishi nawavulia:yo:
  6. SIKAUKA MHAPA

    Walioitwa usahili Utumishi, TanTrade

    fungua ajirazetu.com
  7. SIKAUKA MHAPA

    Kuitwa kwenye usaili Serikalini

    pitia kwa ajirazetu.com
  8. SIKAUKA MHAPA

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    nchi yetu hatumpi isije kuwa nyeupe kama nywele zake, hapa tulipofika tu tayali nchi ina ukoko kichwani.
  9. SIKAUKA MHAPA

    Hivi Capt Komba si alikuwa mwanajeshi? Mbona sikuona wanajeshi wala mizinga?

    ameacha sembe kibwegeee,kapteni gani anauliwa na pesa ya mboga tu
  10. SIKAUKA MHAPA

    Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

    kumbe kucheka na kulia zote ni kelele. ahaa
  11. SIKAUKA MHAPA

    Vurugu Ilula: Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto

    ile nchi ya iringa kwetu mjerumani alichemsha.sijui kama selikali inajua kuwa ule mkoa una watu marafiki sana ila ukiwatibua utajuta. mgai shida natamani ningekuwepo kutetea ndugu zangu wahehe. hao polisi walishawai kutaitiwa na raia nyororo kule baada ya kukamata vijana wanaosadikiwa kuwa ni...
  12. SIKAUKA MHAPA

    Vurugu Ilula: Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto

    hata mwezi wa december mwaka jana walikimbizwa sana kule maeneo ya nyororo. huo mfupa ulimshinda mjerumani wao polisi wataweza?
  13. SIKAUKA MHAPA

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    kebbys hotel kumbe ipo karibu na sibuka fm pale bamaga. nilikuwa sijui ilo
  14. SIKAUKA MHAPA

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Rakims. kuna siku nilikuwa nasoma kitabu usiku nikachoka nikaamua kuzima taa na kulala baada ya dakika tatu nikasikia mtu anatembea kukaribia dirisha langu mara akasimama nikaanza kusikia anafungua kurasa za kile kitabu mimi nimelala sijui kama ilikuwa usingizi au la. uoga ukanishika sana...
  15. SIKAUKA MHAPA

    Ushauri, barua iliyochapwa ya kuomba kazi sijaweka sahihi

    usiogope mwanangu kama ipo ipo tu hata iweje , asikutishe mtu. kwni uncle upo wapi?Dar au Song
  16. SIKAUKA MHAPA

    Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Uncle hongera sana nakutakia kila la heri nakuombea uitwe kwenye oral. ngoja nikupm maswali ya oral
  17. SIKAUKA MHAPA

    Msaidizi wa kumbukumbu daraja la II nafasi 9

    fanya tukalime tu kule hakuna gharama nasikia
  18. SIKAUKA MHAPA

    Msaidizi wa kumbukumbu daraja la II nafasi 9

    ifakara uko kilombero sijui itakuwa kijiji gani kama nikipata nasonga dar hapa kelele nyingi
Back
Top Bottom