Search results

  1. Beb

    Ushauri: Ukiona umependwa ghafla

    unamaanisha love at first sight au?
  2. Beb

    TRUE STORY: Kutokujua kingereza kwamsababishia kifo kijana!

    poor him!kwan ukienda kupima majibu unasomewa na kama mzima unapewa hongera endelea kujitunza au ye alipopewa alikimbia na karatasi..
  3. Beb

    Jina unalomwita mpenzi wako leo ni tofauti na mlivyoanza mahusiano?

    Ni kwasabab ushamzoea,ushayajua mapungufu yake,ushajua wap mnatofautiana na upi udhaifu wake na unajua kila siku yupo tu na atakua wako..lakini tunasahau kua love is knowing some1 is not perfect but treating him/her as if he/she is.Na hiyo ni kwa faida ya mahusiano yenu especially women our...
  4. Beb

    Kwa nini subira ni lazima katika mafanikio na mahusiano...?

    asante kwa thred nzur ila subira is not my strength,kama gred ningejipa C si mbaya ila si nzuri pia..kutokana na hili somo basi itabid niongeze subira.
  5. Beb

    Akina dada soma hapa muhimu sana

    hiv mnaishi dunia ya peke yenu mnaotafuta wachumba mtandoni?kama na wewe una vigezo mpaka ukaamua kumuwekea vigezo umtakae mbona ata apo ulipo wapo,wengine mnatafuta matatizo kama si hivyo ni ww ndo utakua tatizo.
  6. Beb

    Whats happening!Siku hizi kila harusi nikiisikia Bi Harusi anakuwa anatoka Moshi au Arusha

    tabia ya mtu haiendani na yy ni kabila gan kwanza siku hizi wengi wa watanzania viruka njia wangekua cheap wangekua wife material au unahisi kuna mtu anataka kuoa matatizo?mi naisi imetokea coincidence kua 75% ya hao alosikia wanaoa wa huko but ata wengine wanaolewa.
  7. Beb

    Bi Kidude Enzi Zake alivyokuwa kijana na sasa jinsi alivyo

    mh labda Bebii sio Beb,nimemuona huyo luckymito mh labda mwenyew atakuja kujibu at first nlidhani smile kabadili jina..
  8. Beb

    Hivi Ameoa au Ameolewa?

    ah vzr km wanatembea distance ndefu mama ndo abebe peke yk!vzr kusaidiana
  9. Beb

    Wanawake wanaosumbua sana huwa ni wa hovyo . . . . !!

    jman kwn hujui wanawake wanavaa?
  10. Beb

    Mlikuwa mnapata wapi?

    tulizingatia shule kwanza si unajua mapenzi na shule ni mlenda na chai
  11. Beb

    Nani anavutia kati ya hawa .

    tuangalie na rangi zetu jamen!mtu mweusi anaweka nywele za gold,na isitoshe anasiriba na lipstick ya pink duh tuangalie tusijekua vituko
  12. Beb

    weusi mapajani kwa kina dada

    nlisikia shabu inasaidia au hata iyo baking soda na limao
  13. Beb

    kuna madhara gani ya kutumia "soy beans"

    ni kweli ktk maharage hayo vipo viini visipothibitiwa hudhuru mwili wa mlaji hujulikana km anti nutritional factors mojawapo na maarufu ni ile iitwayo 'typsin inhubitors' ambayo vinapotumiwa huzuia protein isitumike mwilin mwa mlaji,salama ni kuhakikisha hizo anti nutritional factors...
  14. Beb

    Sitaki kurudi nyuma...

    eh ina maana kakukataa nae?uckubal kushndwa jitahd ukpata mdada ukmpenda jitahd kujenga urafk ht ujue anapenda nn na nn hapend..jitahd kumuonyesha unampenda kwa vtendo zaid kulko maneno..
  15. Beb

    Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    'wat z bad z bad even though everybody do it and wat z ryt z ryt even if nobody do it' so jus do wat z ryt!.
  16. Beb

    Imagine Kila Mwanaume Angepewa Fursa ya Kuumba Mwanamke Atakayemwoa!

    Mungu asingetoa fursa hiyo cz wanaume wangejisifu wenyewe kwa uumbaj na c Mungu ila nafkiri una tatzo mayb umeumizwa o umetafta sana mpenz umtakae bila mafanikio ebu appreciate uumbaj wa Mungu amin yupo m2 aliyeumbwa kwa ajil yk..
  17. Beb

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    Free advice:kwnn ucngeweka limit kwny hayo yote huwez jua waweza pata ambae hajaokoka lkn akaokoka kupitia ww..
  18. Beb

    HII Ni SAHIHI KWELI?

    wenzio awaambiw we unaambiwa kila saa hufurahii eh..
  19. Beb

    Nimechoka Basi!!...

    Ndo mapenz mwanaume akiwa serious mdada walaa,mdada akiwa serious mwanaume anazngua..inatokea unakuta m2 unapendwa na una2mia chance iyo vbaya mi naamin una mapenz ya dhat mshirkishe Mungu wk akupe atakae deserve love yk na stick to tht dnt settle 4 less!.amin utapata sm1 mpaka utashangaa y it...
Back
Top Bottom