Search results

  1. Rugambamazima

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Usilinganishe majimbo yanayoongozwa na ccm na cdm hapo utakuwa mnafiki mkubwa..bajet inapitishwa nawabunge mizigo ya ccm. Lini watafikilia habari ya maendeleo zaid ya kunenepesha matumbo yao nakufiria jinsi ya kumaliza twiga wetu na tembo. Madiwani wenyewe walewale...tabu tupu mpaka...
  2. Rugambamazima

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Naona huna takwimu. Unachotaka hapa nikuogopesha wasioijua siasa! Chalinze ningome imara ya CCM na ukizingatia nikwababa mwenye nchi. Lakini kubwa nikujiuliza katika chaguzi zilizopita CDM ilikuwa na kura ngapi ukilinganisha na kwa sasa. Issue ya kumuongelea ZITTO NAMKUMBO haina mashiko mbele ya...
  3. Rugambamazima

    Zitto, Lema, Mwigamba na Maamuzi ya Kamati Kuu Chadema

    For sure usaliti wa Zitto watu waliuona siku nyingi sema walimstahi. Tunamshukuru kwa yote mazuri yote ambayo ameitendea nchi hii nayale anayokusudia kuyatenda.. Kama yeye nimzalendo wa kweli tunategemea ataendelea kutenda mazuri kwa kwa Faida ya Watz wote bila kujali dini wala ukabila!!!
  4. Rugambamazima

    Zitto, Lema, Mwigamba na Maamuzi ya Kamati Kuu Chadema

    Hakuna cha CCM kuwa chama kikubwa zaidi nikulinda maslah ya wakubwa wa chama na si chama. Kwani umesahau ya Katibu wa Chama aliyepo yaliyomkuta siku za nyuma au huna historia nzuri na chama... Au unataka kusifia historia za chama kumpoteza Kolimba na wenzeka mpaka kuzimu??
  5. Rugambamazima

    Zitto, Lema, Mwigamba na Maamuzi ya Kamati Kuu Chadema

    Naumia kumpoteza Zitto,, but sio kwamba alikuwa perfect saaana!! Suala la kutaka madaraka kawake halikuwa geni..Lakini kwa kutaka kupandikiza ukabila na udini hapo amechemkaaaa!!!Pointi zake zingekuwa kwahoja nyingine tungeweza kumuunga mkono sana lakini kwa kuingiza swuala la udini na...
  6. Rugambamazima

    N/Mkurugenzi mipango na uchaguzi wa CUF ametekwa Mtwara...

    Kuna thread inayosema Mh. Mketo na baadh ya askari jeshi wamefariki dunia. Sijui kama habar hz zinauhakika. Lakin nawapa pole kwa wale wanaokenua meno na kufurahia matendo machafu yanayoendelea mtwara. Hata kama angeteswa mwana CCM, CHADEMA CUF,au mwanachama wa chama kingine, lakini tukumbuke...
  7. Rugambamazima

    Kwa wale wanaopotosha watu kuhusu mishahara ya walimu soma hapa!!

    Tangazo hili laweza kuwa feki zaid kwan halikufuata vigezo vya uandish ukizingatia unyeti wa ishu yenyewe!
  8. Rugambamazima

    Hatimaye yametimia walimu kucheka huu ndiyo waraka mpya.

    Ki2 kinaeleweka, hebu download upload hizo nyaraka ziko wazi. Tunashukuru kwa kaz nzur
  9. Rugambamazima

    LUKUVI na wengineo, Huu ndio ukweli jinsi Bomu lilivyorushwa. Mengine ni PROPAGANDA!

    Kwa jinsi napata wasiwasi na umakini wa mafunzo na utendaji wa vyombo hv vya usalama! Iweje kufanya kazi kwa kudhahania?? Mtu akikuangalia amekunja uso inamaana anataka kukupiga? Au kila anayekimbiza gari sana anataka kugonga? Au kila avaaye nguo nyeusi yuko msibani? Hatuwezi kufika kwa style ya...
  10. Rugambamazima

    Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

    Yes! Mnaweza kutuua lakini hamuwezi kutumaliza kwa siku moja! Mnaweza kututisha lakini hamtotuzuia kusonga mbele.. Na sasa tunakuja mdogomdogo kuing'o CCM 2015.. Na damu mnayoimwaga ni juu yenu na vizazi vyenu!
  11. Rugambamazima

    Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

    Unamatatizo ya kufikiri.. Unasahau kuwa Marekani ndiyo pekee yenye intelligensia ya kutisha lakini OSAMA alifanya yakwake akalipua na intelligensia ilikuwepo. Hivyo hivyo hatushangai kuona CCM inajipenyeza kama Osama na kufanya haya mauaji na vurugu za kuliaibisha taifa letu. "MUNGU ATALIPA"
  12. Rugambamazima

    Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

    Siamin kama kurudi kwa JK kuna msaada wakati tayari damu ya watz wasiokuwa na hatia wameshamwaga damu!! Dalili za haya zilionekana mapema kupitia kauli za viongozi waandamizi kama Nape na Mwigulu na yeye alikuwepo anashangilia. Sasa kurudi unadhani kunamsaada gani!!? Mungu atatenda.. Hawezi...
  13. Rugambamazima

    Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

    Unamatatizo ya kufikiri.. Unasahau kuwa Marekani ndiyo pekee yenye intelligensia ya kutisha lakini OSAMA alifanya yakwake akalipua na intelligensia ilikuwepo. Hivyo hivyo hatushangai kuona CCM inajipenyeza kama Osama na kufanya haya mauaji na vurugu za kuliaibisha taifa letu. "MUNGU ATALIPA"
  14. Rugambamazima

    Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

    Wewe unasema huamin kuwa CCM inaweza kufanya mauaji kwa sababu huna historia ya matukio ya mauaji na utekaji unaotekelezwa na serikali ya CCM..au pengne unajua ila kwa unafiki wako unavunga hujui wakati hata mtoto mdogo wa miaka saba anaelewa hayo. Ar u under 7? Nakwambia kama kuna mawio lazima...
  15. Rugambamazima

    Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

    Wewe kaa kimya walewale tu! Polisi hao hao walipomuua Mwangosi ukakenua.. Leo watu wanakwenda kushnikiza haki itendeke unaona jipya. Kama huna hoja ya kupost kaa pemben sisi tujadili mustakabal wa majeruh waleo na uchaguzi wa kesho. Omba Mungu akuongezee hekima upate kusikika na si kuzibika!
  16. Rugambamazima

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Wasijidanganye kuwa bajeti wananch hawajui madudu ya CCM..Wanajua sana tena sana kuliko wanavyodhani.! Ijadiliwe isijadiliwe lakini wajue kiama chao kiko karibu sana. Kwanin wasijue kuwa binadamu anabadilika siku moja hasa pale anapokasirika. WAKUMBUKE YALIYOWAKUTA VIONGOZI VIGOGO NA WAKONGWE...
  17. Rugambamazima

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Nasema hv "MBWA AKIKARIBIA KUFA HUWA ANAREFUKA"! CCM wamerefuka kupita kiasi!! Hv wanadhan watu wamesahau ya Mwangosi? MASHAIRI YA MWIGULU yasiyokuwa na vina wala mizani sasa mwisho. Matokeo yake tumeyaona sasa!!
  18. Rugambamazima

    Mh.Peter Msigwa una lako jambo unastahili kufungwa.

    wewe huna jipya zaidi tumeheshmu mawazo yako. Lakini dhahiri wewe nikibaraka wa CCM, na hapa umegonga ukuta humdanganyi mtu kwa hili. Anachotaka Msigwa nikwamba wafanya biashara wapewe elimu juu ya biashara na ujasiriamali wao, kuwatafutia maeneo salama na endelevu kwa biashara si kuwafukuza tu...
  19. Rugambamazima

    Simba sc vs kagera sugar

    Hao SIMBA tushawazoea lazima watakuwa wamelishwa Matoke ya Bukoba
Back
Top Bottom