Search results

  1. N

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Mkuu ingefaa tuendeze post moja zaidi tu iwe inakuwa updated,na muhimi kama mtakuwa mnatupatia picha.
  2. N

    Vuguvugu la Mabadiliko: CHADEMA kuwasha moto Monduli

    Piiiiiiiiipoooooooooooooz,,,wengi nao wanasema POWER... Hiyo 2015 naona inachelewa vile tena natamani saa 10 alfajiri niwe ktk kituo cha kupigia kura siku hiyo.
  3. N

    Kuna Madhara yeyote unapotumia MAGIC unapo nyoa ndevu?

    Pole,kwa ufahamu wangu kila mtu na aina ya ngozi yake na iko na mzio kwa vitu gani.Wengine hata hiyo topaz watoa mapele.Kwa upande wa athari ndo nangoja nipate lolote toka kwa wanaofahamu.
  4. N

    CHADEMA Washinda kesi mahakamani

    Saaaaaaaaaafiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaa!!!!! Chadama ni vema bwana!!
  5. N

    Nape si mwanachama wa CCM

    Dah mnajua wana jf mna nichanganya,sasa kama ndo iko hivi huyu mjamaa anapata wapi ujasiri wa kupuliza vuvuzela hovyo tena mbele ya wakubwa na bila kujali kelele zinazotolewa na hilo livuvuzela.Aluuu mi naenda nje kwanza nipunge upepo.Labda kashindwa bei au gharama ya kununua kadi,kwanni nyinyi...
  6. N

    Pr. Shivji katiba tune ITV sasa.

    Hapo poa niko namfatilia.
  7. N

    Msaada namna ya kutoa mimba bila kupata madhara kiafya

    Huyo demu wake akifa we utakuwepo kumsindikiza segerea?kama ndio fanyeni mpango mkutane na uwasindikize kwenda kuua,ili ikitokea kinyume msindikizane pia.
  8. N

    Msaada namna ya kutoa mimba bila kupata madhara kiafya

    Ndugu huyo shetani aliyekushika hebu mkemee,mwenzio nilihangaika ndani ya ndoa karibu miaka mitano bila mimba wala kichefuchefu,baada ya kutembea huku na kule na maombi Mungu akanisikia,nilijifungua HIVI KARIBUNI 2012 baby boy lakini alifariki muda mfupi kabla ya kuzaliwa.Nikarudi kukosa...
  9. N

    Wakulima na wafugaiji wataendelea kuwa maadui isipochukuliwa hatua

    Haya mapigano yanayoendelea nchini ni hatari kwa vizazi vijavyo,viongozi husika hawaoni wafugaji na wakulima huko pwani walivyo na mvurugano?wafugaji wamekuwa wakimbizi nchini mwao na hivi sasa wanaishi kwa kuwindwa,hivi kweli wafugaji wote wakigoma kuuza mifugo yao mtaagiza toka nje ya nchi?
  10. N

    estrogen

    Wana jukwaa nimejifungua miezi michache iliyopita.Nifanyenini kukabiliana na tatizo la upungufu wa estrogen?nimekuwa mkavu sana so nisaidieni.
  11. N

    Vua Gamba Vaa Gwanda Yapata Dhoruba Lindi

    Haahaa haha,ndugu yangu endelea kusubiri kushindwa kwa CDM,utashindwa ww na dhoruba zako,usiwatukane wamachinga,hayo mashule yasiyo na walimu wala vifaa,,,au watasubiri ndugu yao first lady akawafundishe? hata ukisema kuna barabara watafundishwa nazo?kutibiwa je.:A S 12:
  12. N

    Siku Vijana Watakapowageuka CHADEMA.

    Usiwe na mawazo mgando yasiyosoma alama za nyakati,hao vijana unaowazungumzia unadhani hawajachoshwa na maovu ya nyinyi M? hawaoni mama zao,wake zao watoto,wazee wanavyoteseka na sera za maisha bora kwa kila mtanzania?na vijana hao hao wananyanyasika kwa kukosa ajira na kuteseka katika viwanda...
Back
Top Bottom