I wish CCM wangejifunza kwenu angalau hili la kukiri mapungufu hadharani!! Huku ndiyo kukomaa tunakotaka na wala siyo kufanya ushabiki kwa kila kitu!!!!!
Mi nitakuunga mkona iwapo utaniambia kuwa shule hiyo ya kufikirika wanasoma watoto tu wa Mbowe au Viongozi wa CHADEMA.
Nitakubaliana na wewe iwapo utanithibitishia kuwa Wanachama na Wafuasi wa CCM wanafuatilia matumizi ya RUZUKU kubwa ambayo wamekuwa wakipata tangu wakitawala bunge kwa wingi...
Hivi kwenye hiyo shule anasoma mtoto wa Mbowe tu?? Aliyeleta taarifa hizi (Mwigulu) atumwagie na majina ya wazazi wengine ili tuone na kuwajadili wamepataje mamilioni hayo ya kuwalipia watoto wao!
Kuna tatizo la utawala Zanzibar!! nchi ile inakuwa maskini kila siku kwa sababu Viongozi wao wanatoa kipaumbele cha kujiimarisha madarakani zaidi ya kuondoa umaskini lakini lililobaya ni kuwaaminisha Wananchi wao kuwa matatizo yao ni MUUNGANO!! Let Zanzibar go ili wajifunze na kujua matatizo yao...
Nafikiri tatizo kubwa letu Watanganyika si kudai Tanganyika!! Hata Tanganyika ikirudi tutaendelea kusota tu kama uongozi wa Taifa letu utaendelea kuona kuwa vipaumbele vya nchi yetu ni kuendeleza uongozi wao!! Nyinyi Wazanzibar mnasumbuliwa na umaskini uliokithiri ambao hamtaki kuuona na...
Kwa nini Kikwete aitishe kura ya maoni kwa Wanzibar? Rais wao aitishe! Amiri jeshi wao Mkuu asimamie mchakato huo mpaka wapate wanachotaka. Aliyeanzisha Thread hii, ameomba Polisi isijihusishe tena na Vurugu za kundi la UAMSHO ambalo limeandikishwa kwa sheria za Zanzibar ili waweze...
Hivi unajua kuwa Wazanzibar mna matatizo makubwa?? aliyeanzisha thread hii amekuwa ni mtetezi mkubwa wa Muungano lakini inaonyesha hatimaye amekubaliana na nyinyi na kuwashauri njia rahisi za kufanya ili mfanikiwe haraka na mnachokitaka bila kuendelea kutupigia kelele! Hayo yote uliyobwabwaja...
Tuliwapenda sana kwa miaka 46 lakini naona hawapendeki! potelea mbali, hakuna anayekataa kuwapatia talaka wanayoitaka!!! Wanachotakiwa kufanya ni kuomba talaka yao, waende! Let them go. Tumechoka na kelele zao kila siku.
Let Zanzibar go!! Asante Mzee Mwanakijiji kwa darasa lako, let them decide their destiny kuliko wanavyotuandama wakati uamuzi uko mikononi mwao! Let them go. Waliamua kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano kwa kujitangazia kuwa wao ni nchi ndani ya nchi na hakuna aliyewauliza, Walivunja katiba ya...
"and" kwenye hundi inamaanisha sifuri. Kwa mfano kama ukiataka kuandika Tshs 208,000/= utasema Two hundred and Eight thousand, pia ukitaka kuandika 305, utasema three hundred and five only.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.