Search results

  1. P

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Hawana Kwa kukupeleka Hawa kenge, nimewakopa karibu 800k na nimewaambia waende mahakamanii. Wameamua wanikatae
  2. P

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Wanakutangaza mzee, kama umekopa kuwa mpole. Mimi wamenitangaza Hadi tumechoka a wote
  3. P

    DOKEZO Taarifa Binafsi zinakusanywa na "Kampuni za Mikopo Mtandaoni" ni Hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Eti msakatonge yupo mwakaleli mbeya huko anahitaji privacy Gani? Hawa kuwapiga na kusepa tu
  4. P

    DOKEZO Taarifa Binafsi zinakusanywa na "Kampuni za Mikopo Mtandaoni" ni Hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    50k nayo pesa kweli. Hawa ni matapeli Toka china wanataka watajirie Afrika.
  5. P

    DOKEZO Taarifa Binafsi zinakusanywa na "Kampuni za Mikopo Mtandaoni" ni Hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Sina privacy ya kunitishishia. Wasenge sana Hawa, washawahi nipigia simu nimemdhamini mtu nami nikaingia front nimewakopa 800k na siwalipi.
  6. P

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Hizo kampuni hazipo kweny credit bureau sio Kenya Wala Nigeria, wapo Kwa lengo la upigaji kutumia ujinga wetu. Nasisi tunaish nao tu Hela za Bure hizo hawana Kaz nazo. Kama kweny circle yangu ataona nimedharirika basi sio aina ya circle yangu akatafute circle yake
  7. P

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Huenda wanatuma msg ila sipatak mrejesho. Sijalipa app nying tu. Hapa nasubir kesho Kuna kama app 3 waanze kunisumbua wale block then nivute mda nianze kopa Tena.
  8. P

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Riba kubwa sana mzee unakopa 130k riba 50k kmmmk nani alipe kausha damu.
  9. P

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Ila sisi watz sio wakukopesha bila dhamana, Mimi nadaiwa na karibu makampuni yote ya online yaliyojaribu kunikopesha. Mbaya zaidi Hela ninabetia na ninapigwa. Kama sio kubeti nisingefanya huu ujinga wa kuwakopa
  10. P

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Hahaha mm pesa m, mkopo fasta na sunny loan inasoma kama 800k hahaha. Watume tu nani anaogopa kudhalilika. Nina contacts kama 700 hivi kwenye simu ila kupata hata msaada wa 20k ni msala
  11. P

    Anatakiwa afanyenini hapa dar huyu kijana

    Maisha mkanganyiko. Nilikimbia dar nikaja mbeya now life mtelezo. Mwambie akaze mjini life popote.
  12. P

    Je, dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya king'amuzi cha Azam?

    Hiyo zamani, sasa hivi wapo vizuri. Tafuta fundi aweke signal vizuri.
  13. P

    Je, dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya king'amuzi cha Azam?

    Umepata msaada, niko mbeya nikupe namba ya fundi?
  14. P

    Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

    Hapo uhakika,kumbe uber driver unaish safi tu
  15. P

    Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

    Per day unaweza piga mshindo bei gani mzee?
  16. P

    Kuna changamoto gani katika kutumia king'amuzi cha Azam cha Malawi?

    Malipo,mpaka uwe na line ya airtel ya malawi na mtu wa border akuwekee float ya kwacha ya malawi. Ama ufanyiwe malipo na wanaofanya hizo mishe.
  17. P

    Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

    NIpe mrejesho biashara ya uber, nataka nishuke mjini nishike chuma. Inalipa ama ni kusaka tonge?
Back
Top Bottom