Search results

  1. N

    Batch ya kwanza yatolewa hlssf.

    ya wengne walikuwa hawajui !
  2. N

    Batch ya kwanza yatolewa hlssf.

    haya sasa batch ya kwanza imetolewa hapa na ndugu zetu hawa hivyo check kama jina lako lipo kama halipo basi subiri batch ya pili na ya tatu Home!
  3. N

    Ubeberu wa bodi ya mikopo

    Lipeni jaman na sisi 2some nafuu nyie sisi ndo tuna hemea mipila kabisa
  4. N

    Bodi ya mikopo hamueleweki kwa sisi tunaokata rufaa.

    vyote kama ulivyovi2pia kipindi kile una apply vielelezo hvyo
  5. N

    Walicho tufanyia heslb! Mmm.... Hata hamu sina

    usikate tamaa ndugu yangu haya ndo maisha ya kibongo bongo me naona tu ka appeal naimani kabisa utapata huwezi kukosa kweli
  6. N

    Kwa wale waliokosa na wasioridhika na viwango vya fedha ya mikopo, muda wa kuapeal ndio huu.

    hapana mimi nakataa according to heslb ni kuwa yeyote ambaye hajafurahishwa na matokeo yake nikimanisha aliepata kidogo na hata yule aliekosa pia
  7. N

    SECOND BATCH YA HESLB YANUKIA,MUDA WOWOTE KUANZIA SASA ITAKUWA HEWANI

    kwani jamani miaka ya nyuma mambo yalikuwaje kwamba fedha zinakuwa zinatolewa kimtindo gani kwamba kuna batch ya kwanza ya pili ya tatu au ni vipi?
  8. N

    Kwa wale wanaojiunga 1st year wazingatie haya

    nimependa sana ndugu ubarikiwe kwa hilo kwakweli hongera sana ndugu yangu na nafurahi kwa usahuri wako mfupi na uko clear
  9. N

    Ambao wanauzoefu na ku appel wanipe ishu nzima

    nashukuruni ndugu zangu kwa kunitia moyo kwa hilo na hata kwa walionicrush pia thanks sana tu mbarikiwe ngoja nijaribu na nikifanikiwa sawa nisipofanikiwa pia sawa cha muhimu kujaribu tu
  10. N

    Kwa waliokosa Mikopo Heslb

    thats nice ila kuna watu wako makini sana kwa kuwakatisha wenzaao tamaa kwa kweli ! eti hautopata hata ukikata rufaa
  11. N

    Mimi ni mwanafunzi niliemalza kidato cha sita na kufanikiwa kuingia chuo kikuu ila nsina uwezo

    sawa kaka zangu nimwewaelewa wakubwa kwa wadogo siku zote tunajifunza kutokana na yale tulioenda vibaya sawa nimesikia ni makosa tu kidogo ambayo yanaweza kurekebishwa nimewaelewa
  12. N

    Ambao wanauzoefu na ku appel wanipe ishu nzima

    nashukuruni xana kwa wale mlionisaidia kunifafanulia atleast nina mwangaza wa kutambua any way asanteni mungu awabarki kwa msaada wenu n pia muongezewe kwa mlichonacho naimani ntapata na wale mnaojua kutoa negative comment cio km nawa crush ila maisha ha2end hvyo cdhani km ndo life la xaxa km...
  13. N

    Ambao wanauzoefu na ku appel wanipe ishu nzima

    haya nimewaelewa ila me nlidhani kuwa lina2mika kwa wote km mnajua bac yaishe nimewaelewa cku zte jifanye mjinga cku ipite haya nashukuruni kwa hilo
  14. N

    wale wa ifm karibun xana

    eeeeeeeeehhhhhh jaman kaka zangu me nakuja xana 2 huko kwny msuli cnc adv nlikuwa na dream ya hiko chuo unajua bhna unaposoma chuo unachokipenda na course unayoipenda tz grt coz unasoma kutoka moyoni na pia unasoma ukiwa na amani cheeeeerrrrrrrrrrr 2 u ol jaman nakaribia mnipokee kumbe nachama...
  15. N

    Ambao wanauzoefu na ku appel wanipe ishu nzima

    nashukuru kaka rich mana wa2 wngne kwan kuna k2 kisicoeleweka hapo jaman !mc choelewa nn km hautaki kunisaidia bac bhna ila mm naakili timamu ndo mana nimeandka na kuhtaji msaada xaxa ambacho kipya ni nn hapo have extra knwledge
  16. N

    wanafunzi kuweni makini na HLSSF

    aaaahh jamn acha 2 eti mkurugenzi anapatkana jmoc 2 kwl jaman duuuuuuuhhhhhhhhh cku nyngne yuko kazn na yeye hapo xaxa
  17. N

    Naomba msaada wako

    xaxa mbna wanasema tna trh 1 oct heslb ni kwaajili ya nn jaman? na pia cc ndo 2naingia vyuoni na chuo kinafunguliwa 8 oct xaxa ntaenda 2 kwa loan officer wa chuo kivipi ebu dadafueni vzur
  18. N

    wale wa ifm karibun xana

    okkkk kaka ngoja nkachek ifm mchakato wa pale
Back
Top Bottom