Search results

  1. K

    UDOM List of first year applicants-2013/2014

    mkubwa kwangu imegoma kudownload nisaidie kuchek NIPAEL MWASAMPETA
  2. K

    Naomba mnijuze kuhusu Bsc Telecommunication UDOM inakuaje

    kiukweli s tatu cdhan kama ni marks za kwenda chuo kikuu kwa koz yoyote sasa inapokuja suala la sayansi inaniongezea mashaka na wakati mwingine lazima mtu mwenyewe ujiangalie kama utaweza au la coz kuna kudisco kwa bahati mbaya na kuna kujipeleka shimoni wakati ungeweza kuamua kufanya kitu...
  3. K

    Naomba mnijuze kuhusu Bsc Telecommunication UDOM inakuaje

    ninachoelewa mimi ili kuwa engineer hasa hizi za teknologia eg Computer, Telecom, software, na nying nyinginezo ni lazima uwe umesoma PHYSICS na MATHEMATICS vizur. but kama st. Joseph wamekuchukua sijui wanafanyaje... pengine ni kosa la TCU au wana program ambayo watafanya ili kuwabrush na...
  4. K

    Naomba mnijuze kuhusu Bsc Telecommunication UDOM inakuaje

    unachohitaj ni kuhakikisha unajifunza vya kutosha, always kinachotolewa darasani hakitoshi na hicho mostly kinatumika kujibu mitihan kwahyo ni kuhakikisha unatoka ukiwa umejua kufanya vitu real au kama ni simulation software jitahd kujua kuztumia vizur na kufaulu vizuri pia.. ajira zipo ukiwa...
  5. K

    Naomba mnijuze kuhusu Bsc Telecommunication UDOM inakuaje

    kiujumla UDOM College of informatics and Virtual Education usipokaa vizuri unaweza usimalize but asikutishe mtu kama ulikaza ukapata point za kukupeleka hapo utakaza na utatoka, utakutana na Prof Anatory... Prof Mvuma utacheza saana na signals.. convolutions.... u just get prepared kama...
  6. K

    Je ya lwakatare siyo mpango maalum wa kutusahaulisha yaliyotokea kwa form four??

    Habar waheshimiwa, napata shida wakati mwingine kuhusianisha mambo yanayotokea katika nchi yetu na wakati mwingine nahis maisha ya watanzania yanakuwa kama yanaendeshwa na watu wachache( yanakuwa programmed). Imekuwa kawaida sana kwa tanzania kunapotokea jambo ambalo linatikisa taifa na ni...
  7. K

    Ukimya wa Lowassa kuzungumzia rushwa katika chaguzi za CCM -- kulikoni?

    ukilazimishwa kuiba then ukashindwa kumsema aliyekutuma dat means wewe ni mwizi tuu!!
  8. K

    Ukimya wa Lowassa kuzungumzia rushwa katika chaguzi za CCM -- kulikoni?

    majibu mengine cyo lazima uambiwe coz kimya pia nijib, unadhan vibaraka wake hawapo huku au hawajampelekea???? ukweli ni ukweli tu unaweza utambua hata bila mtu kuongea!!!
  9. K

    Ukimya wa Lowassa kuzungumzia rushwa katika chaguzi za CCM -- kulikoni?

    pole sana but cwez kukulaumu sana au kukupinga coz mawazo yako ndipo yalipoishia n umeridhika hahaha... tym utakapofunguka hp utajshangaa kwa huo msimamo wako!!!!
  10. K

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    samtymz watu wakishuhudia vitu ka hivyo wanapanic so anaweza kujichanganya pia! ctak kulazimisha kuwa huyo ni RPC coz mwenyewe cmfham but kama cyo yeye na akanushe coz naamin aliyemention anamfaham rpc kwa sura!!
  11. K

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    wewe unamatatizo ya kiakili kwenye gari kapigiliwa misumari actoke???? tumia akili wewe acha Uccm wa kipuuzi!!!
  12. K

    Misamiati itumikayo vyuoni

    teh teh teh!! Kutoka udom kuna hizi tena!! MJAC/ MJASI- mama ntilie wanaouza chakula tofauti na cafteria NYAVU - supplimentary Mzigo- carry over NG'OX- colleg ya education (ts kifup cha jina la kijj near colleg ya education- Ng'ong'ona)
  13. K

    Waliofukuzwa UDOM mbioni KUREJESHWA...

    I lyk wasomi coz ni wepec kuelewana!! dats Great Thinkers
  14. K

    Chadema kutokubali uchaguzi mdogo Arusha Mjini kunazua maswali!

    naomba nikurekebshe kdogo CHADEMA NI CHAMA TAWALA ARUSHA !!!!!!!
  15. K

    Chadema kutokubali uchaguzi mdogo Arusha Mjini kunazua maswali!

    wewe ndo unadandia gari kwa mbele! hizi kesi umezifuatilia mwenendo wake mpaka mwisho au umesikia hukumu tu na ukaja kuchangia??? hukumu ya lema ilivuja b4 na kama maamuzi yalitolewa na majaji mahakamani iliyovuja ilitoka wapi kama siyo huko juu kwa wanaojina wenye nchi? Igunga ulisikia hukumu...
  16. K

    Lugha gongana

    tehe tehe tehe tehe kwi kwi kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! jamaa kwisha habar yake hapo sasa inabd amfuate Mpuuz camerun!!!!!
  17. K

    mzumbe

    wapi???????????????
  18. K

    TCU yaidhalilisha UDSM...

    kata yenu mmejenga chuo?????? inaonyesha how much umesoma but hujaelimika mzeiya!!!
  19. K

    Mwana muccobs hebu pita hapa kwa mpigamsuli

    jus be carefull kuna SUP na DISCO pia huwa vnanyemelea usije ukafanikisha kimoja vingine vkapotea!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom