Hakuna mtu wa kumngoa rage tabora. Nadhani wanasiasa wa conservative union wanahitaji kutathmini madhara ya siasa za uongo na kupakaza chuki kama kweli ni mtaji wa kisiasa au ticketi ya kuondokea kwenye ulingo wa siasa. Tusubiri majibu ya serikali baada ya vigogo wa hiki chama kutajwa na wafanya...
Kama watanzania watapata mshituko na mshangao wa yale mapembe ambao Rais ameshatoa Amri kwa vyombo vyote vya dola kukata pembe lolote bila kujali basi katika siku chache hapana shaka nchi tatikisika ka mshangao. Kinara wa vurugu za mtwara ameonesha kutokuwa na wasiwasi kuwa yeye ni muajiriwa tu...
Siamini kama freeman mbowe ana abc za administration. Hakuna mtu mvumilivu kama rais kikwete. Sidhani kama majeshi yanapokimbia kutuliza fujo tanzania wenzetu wapenda vurugu huwa wanafuatilia mazingira yanayopelekea haya mambo. Mheshimiwa mbowe utakumbuka wakati wa m4c chama chako kilifanya...
Kuna jambo linatukera watanzania. Watu kujifanya wanapigania maslahi ya watanzania eti mpaka kufa lakini ukiwaangalia na kufuatilia nyendo zao za pembeni ni wadau wakubwa na waratibu wa kila furugu uasi na maandamano nchini. Mungu atatunusuru kama tulipigana vita za angola msumbuji uganda hawa...
Wasomi waiobobea nchini wakiongozwa na baadhi ya wahadhiri waandamizi leo hii wamekemea utoto uliopitiliza hivi sasa kwa baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kushiriki kikamilifu katika kila vurugu zinazifanywa kukaidi sheria zilizopo kuwa itakuwa ni kujidanganya kuwa hii inaweza kuwa ni njia...
Sasa tunachoshwa na kuchanganywa na wanasiasa wasio na mipaka. Wote tunafahamu unyeti wa vyuo vya elimu ya juu na hathari ya kuviingiza kwenye ushabiki wa siasa usio na sababu. Kama ningekuwa lema nikaitwa kweli hapo chuoni na wanafunzi basi nisingekubali kwenda mwenyewe bila kuandamana na mkuu...
Chadema siasa imewashinda. Wanaulimbukeni wa madaraka, huwezi kushika nchi kwa nguvu ni watu ndio watakuchagua hivyo huna haja ya kutumia fedha kuhonga wahandishi eti waandike vibaya serikali na chama tawala, kutunga uhongo kila kukicha na kuwajaza upepo wa tanzania kutumia shida zao. Kweli time...
Tumesha sikia ya chadema mwananchi na ippmedia zao sasa watupe nafasi tusikie ya upande mwingine. Tumeishastukia dili la kujaribu kuhodhi habari na kuwa brain was watanzania kwa habari za kukipamba chama cha chadema na washirika wao wao. Ukweli utafahamika tuuu
Hapo ndo chadema inaonesha uchanga wa siasa. Haiingii akilini lema alifuata nini kwenye hiki chuo na mtu anayesoma elimu kubwa kama hapo hawezi kukimbilia kwa mbunge maana hakuna ufumbuzi ila kuendeleza siasa za maji taka. Ina maana ikitokea vurugu chuo kikuu leo mnyika kwa vile ni mbunge wa...
Gwiji la uchumi na maendeleo duniani joe stiglitz amewatolea uvivu wafadhili wanao liangamiza bara la afrika kwa kisingizio cha demokrasia. Professor huyo aliyewahi kuwa mshauri wa uchumi wa rais bill clinton amesikitishwa sana na hali ilivyo nchini libya ambapo kwa mara ya kwanza katika...
Kuna mtazamo kwa Dar-es-salaam wanaogopa mabadiliko na wanaogopa upinzani. Pia wengi wamekwenda mbali na kusema hata wasomi wengi Dar-es-salaam hawakubaliani na upinzani. Kuna viashiria vingi. Mfano wanasema mpiganaji hodari wa mageuzi alikuwa professor Anna Tibaijuka ambaye alianzisha BAWATA...
Nimeona mabunge yote ya Jamuhuri ya MUUNGANO Tangu enzi za kina Semindu Pawa, Byeitima, Brycon, Kimbau, Lubereje na hata kina Mrema, Gama na Kadhalika. Sasa tuna wabunge wanafanya lolote bila kwa na heshima wala mipaka. Rais wa nchi anatukanwa, Spika anadhalilishwa na kila anachofanya bungeni...
Hahaha unataka kusema nini mkuu. Nyerere alikuwa na masters ya uchumi na historia kutoka edunburg scotland. Hii ilikuwa ni special kwa wakati ule na angeweza kuwa professor kwa shule za leo. Sokoine naye baada ya kuwa na advanced diploma aliona haitoshi akajiuzulu uwaziri mkuu akaenda kusoma...
Hahaha jk mtamuota tu kweli ni kamanda wa kweli wengine ni mgambo wa renamo tu. Ameweza kuongeza wasomi vyuo vikuu kutoka 45, elfu kwa mwaka mpaka laki na 60 elfu. Barabara za kumwaga, treni zinakuja maji yanakuja katiba inakuja. Wenye wivu wahamie conservative union,
pumba tupu. Huu ni unafiki. Maisha magumu unayapinma na nini na kama mbunge utaondoaje maisha magumu?? Angalia yanayotokea dunia nzima nchi za ulaya zinafilisika watu wanakimbia kutoa pesa zao benki. Tanzania hatujafika huko. Kuna mwaka kabla huyo mnyika hajazaliwa wa Tanzania walikuwa hawana...
Hakuna ubishi hivi sasa vyombo vya habari tanzania vinaikaka nchi vipande vipande. Kuna ambavyo vimeamua kuipigania serikali kuna vilivyoapa kuwa havitaweka top coverage ya serikali hata kama rais anaongea na mbunge wa chama fulani ana hutubia huko ikwiriri basi hiyo ya ikwiriri ndo itakuwa top...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.