Search results

  1. M

    Huyu ndiye mbaya wa udom !!!!!?????

    jamaa ana choyo sana. Ananyanyasa watu, ni wazi ushirikina ndo unamweka hapo. Anawaombea extensio ya mkataba watu anaowapenda tuu, wale wanaojua siri zake akiwa URUSI anawakataa...jamaa anapenda watu wawe maskini wambyenyekee..
  2. M

    Reshuffles UDOM zinatisha

    Nyakasheni ni kibaraka wa huko Education...hawezi kufanya PhD hana uwezo. Kazi yake kuwalaghai wanafunzi. Kuna mwenzao master imegoma GPA anajikausha nao wanajikausha wanataka aanze upya kusoma udom...tunawakumbusha mapema hakuna hiyo policy...kama ka fail...udsm basi na afungashe virago kama...
  3. M

    Reshuffles UDOM zinatisha

    Wewe unaanguka kama embe bovu
  4. M

    Reshuffles UDOM zinatisha

    Sikuwa nimekimbia kama mlivyodhani...na siku zote dhana ni HARAMU. Niliwacha kwanza watu wajiachie si vema ku dominate jukwaa. Wewe unajiita Mamkwe ni wazi kuwa una frustration nyingi..ulikuja UDOM kwa mengi, kwanza kwa umri wako huo hutaiwi kuingia humu hata kidogo. Na pili kwa jinsi...
  5. M

    Reshuffles UDOM zinatisha

    HAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwakweli wataondoka wengi baada ya kutumia pesa ya serikali....KIKULA amkaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  6. M

    Reshuffles UDOM zinatisha

    Hizi reshuffle udom zinatisha kwakweli, kuna watu wanahamishwa kila leo na wengine wapo tuu...ndio kusema wanaohamishwa sana wanaboronga au???au ndo wanaompinga huyo mbilikimo wenu tehe tehe tehe...jamani. Na huko social huyo aziza ndio nani au mnaogopa kwakuwa ...tufanye kazi acheni...
  7. M

    Udom udom udom - chuo cha sanaa, lugha na sayanzi za jamii

    Yunachokisema ni tabia ya wahadhiri kunyanyasa wanachuo...Dean akikutaka ukimkataa ikatokea umekosa mtihani kwasababu za maana anakataa kukupa special exams wakati ni haki yako. Walimu hawalipwi on time ndo maana wanakosa kufundisha kwa moyo ...udom ni mwendo wa extreme tuu.Kuna mdada anaitwa...
  8. M

    Udom udom udom - chuo cha sanaa, lugha na sayanzi za jamii

    Chuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine wanajidai eti ni wa zamani kwahiyo wanajua sana...ma dean ni wahuni wazinzi sana....unyanyasaji kwa...
  9. M

    Ufisadi wa kutisha waitikisa udom!!.

    Ahhhhhhhhhhhhhhhhh UDOM inaharibiwa na UDINI, wafanyajikazi wana wa frustrate wanabaki na VILAZA...
  10. M

    Ajira za udom mbona hazipitii sekretarieti ya ajira? Serikali mulika udom

    Lugha hii ni ya mkurugenzi wa utawala, angalia udom inavyoajiri punguani...bosi mzima una comment kwenye jamii forum?? Shame shame shame shame ptyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, hovyooooooooooooooooooo
  11. M

    Ajira za udom mbona hazipitii sekretarieti ya ajira? Serikali mulika udom

    Jamani UDOM inaharibiwa na waisilamu tuu na si kingine...
  12. M

    Gerald Hando muombe msamaha Dr. Ulimboka

    LABDA WEWE ndo unataka uolewe na ULIMBOKA.
  13. M

    Mgomo wa watumishi wana taaluma na waendeshaji udom

    Chuo hiki kimekuwa moja ya vyuo bogasi hapa nchini mbali ya kwamba serikali imewekeza pesa nyingi sana. Uongozi wa juu ni mbovu na serikali unauona lakini inafumbia macho. Mwenyekiti wa council tunakuomba utusaidie kuhusu mchwa hawa waliovimba sana vichwa vyao. Idara hazijasimama kwa sababu...
  14. M

    UDOM kuna tatizo! Ndani ya mwaka mmoja wanafunzi 890 watimuliwa chuo, JK walijua hili?

    ha ha ha ah aha , udom ni chuo cha kiislamu wanaolalamika wote ni wakristo jamani acheni kufanyakazi na hayo majini mtaumia bure labda kama mmesimama kiimani, vinginevyo ni kuumia. wanaojituma kazi ndio wanaopigwa vita, nani asiyejua jinsi bi kidude anavyowapiga vita watu wanaoweza kazi...
Back
Top Bottom