Search results

  1. K

    Kikwete anakuja USA tena - This December

    Hivi huyu Kikwete amekupwagawisha kabisa? Mbona kila kitu wewe ni Kikwete tuuuu! Halafu inaonekana unatambua fika kuhusu kupagawa huku lakini unashindwa tu kujizuia kumchunguza kiundani na kuanzisha mada za Kikwete kila mara! Au labda una ulterior motives nyingine kwa maana ya kutafuta sifa...
  2. K

    Salamu za Mshikamano kutoka kwa M. M. Mwanakijiji

    Easier said than done, isn't it? Your (and MKJJ's) words and ideas may sound great on paper but the are in practice as worthless as Nyerere and his Ujamaa political ideology. Hao Wasomi wengi wao wana lengo moja tu: kuiacha nchi na kwenda Ughaibuni kwenye mazingira mazuri zaidi ya maisha. Kwa...
  3. K

    Salamu za Mshikamano kutoka kwa M. M. Mwanakijiji

    Nani kasema inabidi ule kwa kutumia kisu na umma ili upate lishe inayotosheleza mwili wako? Ingawa tupo karne ya 21 ukweli ni kwamba kwa Watanzania walio wengi bado mila na desturi zao nyingi zimeelemea kwenye enzi za ujima, zikiwemo zile za usafi binafsi na usafi wa mazingira. Sasa kuna...
  4. K

    Salamu za Mshikamano kutoka kwa M. M. Mwanakijiji

    Si unaona jinsi ulivyoishia kuikandia serikali tu licha ya kuanza hoja vyema kwa kugusia sababu za msingi. Nenda Uingereza, Marekani, Ufaransa na kwingineko utakutana na matatizo yakeyale ya uduni wa mazingira kwenye Public Schools likiwemo hilo la uwiano mkubwa kati ya wanafunzi na walimu...
  5. K

    Salamu za Mshikamano kutoka kwa M. M. Mwanakijiji

    Kusema kweli sioni kama jibu lako linaridhisha. Wajibu wa usafi katika shule ni 95% wajibu wa wanafunzi wenyewe. Mavi chooni wajaze wenyewe halafu lawama waipelekee serikali? Kama vyoo vikiziba ingebidi wachimbe vyoo vipya vya mashimo kutumia majembe na zana nyinginezo za kawaida halafu...
  6. K

    Salamu za Mshikamano kutoka kwa M. M. Mwanakijiji

    Umetumia mfano wa mgomo wa Wanafunzi wa Azania hivi majuzi na kudai kwamba usomi wao ndiyo umewafanya "wakatae" uchafu wa mazingira iliyopo shuleni. Sasa mtu unaweza kujiuliza, jee huo uchafu umeletwa au kutupwa hapo shuleni na serikali au labda Al Qaeda? Ni nani au ni nini chanzo cha mazingira...
  7. K

    Jacques Chirac, former French president: Formally investigated over scam

    I am no expert in constitutional law of Tanzania so I cannot answer your question. However its clear what you ask above has little (or rather indirect) relevance to the issue of presidential immunity which as far as I understand this thread is all about. As for your other question: I'm...
  8. K

    Jacques Chirac, former French president: Formally investigated over scam

    The French parliament and the courts didn't have to go through protracted sessions (that may be extremely demanding in time and resources) on the issue of removing M. Chirac's presidential immunity. A clause in the constitution of France laying down the merits and limitations of presidential...
  9. K

    Kikwete anunuliwa na wamarekani?

    Unajua kule misitu ya Kongo ninakotokaga nyani jike mwenye mimba kama huyu ni mboga ya kila siku tu. Huwa tunatungua kwa manati halafu tunamkausha kwenye mafiga ya moto hadi vinywele vyote vinateketea halafu nyama inakuwa tayari kuliwa au kuuzwa sokoni. Mama analiwa na kichanga chake: hii ndiyo...
  10. K

    KIWIRA na MCHUCHUMA: A Campaign To Reclaim...

    Tokea lini mali ya dola ikawa mali ya wanachama wa JF? Hata kama unamaanisha "mali ya taifa": huo ni msemo tu ulio na "symbolic meaning" kwenye "political rhetoric" na ambao hauna maana yoyote halisi. Kama ulikuwa hujui: maana halisi ya "mali ya dola" haswa kwa nchi za kiafrika na nyinginezo...
  11. K

    Kikwete anunuliwa na wamarekani?

    Is this all what little dwarf monkeys can contribute in some serious discussion about an issue of potentially major geopolitical significance inside and outside the country? In case you aren't familiar with the saying "One monkey don't spoil no show"... then you better ask somebody!
  12. K

    Jacques Chirac, former French president: Formally investigated over scam

    Any attempt to compare French democracy with that in Tanzania is bound not only to fail, but is both shallow and a great insult to France. France has had at least 2015 years to perfect their political system while Tanzania has known multiparty democracy for less than 12 years! Put in another...
  13. K

    Kikwete anunuliwa na wamarekani?

    Yet another excuse to indulge in your mindless infatuation with Kikwete. Its "Kikwete this...Kikwete that..." every freakin' single day!!
Back
Top Bottom