Search results

  1. Mars Rover

    Naomba ufafanuzi kuhusu CVT Sport

    Dunia inaelekea Electric mkuu, hizi ni finali tu. Vilevile inavyosemekana kuwa CVT ndiyo future haimaanishi kuwa ni kwa gari zote, CVT itapatikana sana kwenye magari ya budget, PDK, Tiptronic, etc bado zitashamiri sana kwenye performance cars. CVT bado ni technology changa hivyo ni vyema kukaa...
  2. Mars Rover

    Naomba ufafanuzi kuhusu CVT Sport

    Kama inawezekana, kaa mbali na CVT Transmission either nunua Standard/Manual au Automatic za kawaida.. CVT transmissions zinazingua kwa ujumla, zinavyozidi kuzeeka ndiyo matatizo huanza kujitokeza. Fanya utafiti wako mwenyewe utajionea.
  3. Mars Rover

    Naomba ufafanuzi kuhusu CVT Sport

    jitahidi sana kuitunza, na kuifanyia services za kila mara.. CVT Tranny ni moja kati ya Transmissions zinazosumbua sana watumiaji, hivyo unapoipa mzigo kila mara wear out itatokea fasta sana
  4. Mars Rover

    Naomba ufafanuzi kuhusu CVT Sport

    first, pole kwa kununua gari yenye CVT Transmission/Gearbox, basically CVT Sport ni setup/mode inayokuruhusu kubadili gears manually kwa kutumia paddle shifters zilizopo chini ya usukani both kushoto na kulia, au kwa kutumia shift knob kwa kufuata alama + na -. Vile vile kwa baadhi ya magari...
  5. Mars Rover

    Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

    Mercedes wametengeneza M139 2L I4 engine yenye displacement ya 2000cc, hii engine inatoa 416bhp na inapatikana kwenye Mercedes AMG A45S, inaipa uwezo wa kutoka 0-100kph ndani ya sekunde 3.9 na speed ya juu 270kph. Ukilinganisha na ngongingo Toyota 3UR FE yenye 5700CC na nguvu farasi 381bhp...
  6. Mars Rover

    Naomba kujua jinsi ya kufanya activation ya Windows 10

    Hongera sana lakini hiyo siyo permanent solution, kwa maana Windows Anti Malware inailenga sana KMS, usishangae baada ya update moja mbili ukapata watermark ya Active Windows, cha kufanya nunua discount CD Keys kwa TZS30,000/= kwa kutembelea hii website unalipia kwa Paypal, nimetumia hizo keys...
  7. Mars Rover

    Feni ya CPU (CPU cooler) inahitajika

    Nina Cooler Master Evo 212, but nipo Arusha mkuu. Nilikua naitumia kwenye Rig yangu nikaupgrade kwenda NZXT Kraken X52. Kama vipi tuwasiliane
  8. Mars Rover

    Ninapopiga simu inachukua muda zaidi ku search

    Inaewezekana uwezo wa simu yako/storage ipo chini, au umeweka program/apps zenye ruhusa (permission) ya access you phone calls kama third party call recorder, Truecaller na battery/ power managers. Hizi apps zimekua zikiwapa watu tabu sana haswa kwa wale wanaotumia simu zenye uwezo mdogo, hivyo...
  9. Mars Rover

    Msaada juu ya matumizi ya Banggood Ecommerce

    Banggood in reputation mbovu sana, wanaweka listing ya items nyingi ambazo hawana kwenye stock. www.gearbest.com wana uhafadhali kidogo lakini pia ningekushauri uizoee Aliexpress maana wana team ambayo ni wazoefu. Kuhusu swala la kuchelewa kwa bidaa/items wakati mwingine ni uchumi tu, unapolipia...
  10. Mars Rover

    Miaka 7 Badae, Samsung S2 Bado Ni Simu Bora.

    Xiaomi Mi A1(Global Version) au maarufu kama Xiaomi mi5X(Chinese Version)
  11. Mars Rover

    Miaka 7 Badae, Samsung S2 Bado Ni Simu Bora.

    Kupokea updates ni muhimu sana kipindi hiki, kumekua na mianya mingi kwenye platform mbalimbali za vifaa vya electronics, mianya hii imekua ikitumika na wahalifu/wadukuziau mashirika kuingia kwenye simu za watu na kujichotea details binafsi kibao, zikiwemo credit card numbers, passwords na ata...
  12. Mars Rover

    24“-27" PC Monitor inatakiwa

    Shukrani mkuu, mimi nipo Arusha unaweza kuwa na mawasiliano ya hawa jamaa.? Kwako wewe unarecommend Keyboard na Mouse gani?
  13. Mars Rover

    24“-27" PC Monitor inatakiwa

    Wakuu habari za siku nyingi? Naomba kama kuna mtu anaeuza PC Monitor nzuri kuanzia 23" hadi 27" anijuze. Nipo kwenye project moja ya custom PC Build, parts zote zimefika ila monitor nimeamua kuchukulia hapa Tanzania kwa sababu ya shipping cost kuwa kubwa sana. Specs za monitor (Angalau)...
  14. Mars Rover

    Tatizo gani linafanya simu kuchemka?

    Pole ndugu! Naomba utumie hii code *#*#4636#*#* ingia kwenye Phone information, shuka chini hadi kwenye "Set Preferred Network Type" Chagua WCDMA preferred kama eneo ulilopo lina coverage nzuri ya 3G utapata speed nzuri bila kui-force simu kwa kutumia WCDMA Only. Pili jaribu kutafuta betri...
  15. Mars Rover

    Msaada: Mke wangu ameniblock kutumia mitandao ya kijamii kisa kasoma IT

    Hahahahahaha! Mkuu jaribu kuangalia kama kuna Security software mpya ambazo haukuziweka wewe, kama zipo ziondoe haswa zile zenye Parental Care mfano Kaspersky Internet Security. Pili jaribu kuangalia APN settings zako, hakikisha hakuna password au username.. Name:(Jina lolote) APN:internet...
  16. Mars Rover

    Local Business Verification by Google

    Mimi ni mmoja wao, mwezi January 2017
  17. Mars Rover

    Local Business Verification by Google

    Siyo lazima utumia Postal Address, wakati unakaribia kumaliza process unapewa option ya njia unayotaka kupokea verification code yako, kuna option ya Postal Address na ile ya email. Chagua njia ya email na utapokea muda huohuo.
  18. Mars Rover

    Ipi ni Browser bora kwa simu za Android hapa Duniani?

    Google Chrome ni nzuri kuliko nyinginezo kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kusoma markup na formatting languages almost zote, bila kusahau flexibility ya kusoma webpages kama desktop au mobile kwa wakati mmoja. Google Chrome kama ilivyo kwa browser nyingine ina madhaifu yake, kubwa likiwa ni...
Back
Top Bottom