Search results

  1. Holili

    Fahamu jumla ya hifadhi (National Park ) zetu nchini

    Kazi nzuri mkuu, nafikiri national park zipo 16 na sio 15 kama ulivyoeleza. National park ya 16 ni Saanane Island inayopatikana Mwanza
  2. Holili

    Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Holili imeenda kwa kijana Willy kupitia Chadema
  3. Holili

    Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kata Holili imechukuliwa na Chadema
  4. Holili

    Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

    AJIRA ZIMETOKA LEO 23.05.2015. FUNGUA WEB HII: www.pmoralg.go.tz. ​WANATAKIWA KURIPOTI TAREHE 1.6 HADI 5.6.2015
  5. Holili

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Walimu wa stashahada na shahada waliopangwa ni wa sayansi tu na wamepangiwa hadi shule. Walimu wa cheti, hakuna aliyepangwa kilimanjaro.
  6. Holili

    Jinsi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu wa shule za msingi, Naomba msaada

    Mwaka jana 2014 Julai vyuo vya serikali vilichukua Div I - III. Vyuo vya private viliruhusiwa kwa mwaka huo tu kuchukua Div. IV ya aidha point 27 (zamani) au 32 ya BRN. Mwaka huu kwa vyuo vyote itakuwa Division I (Distinction), Division II (Merit) na Division III (Credit). Ualimu wa Division IV...
  7. Holili

    Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

    Ninakuunga mkono Mnyama k kwani nilidhani niko peke yangu. Watz tumezidi sana woga. Maelezo yote hayo yalistahili kutolewa siku nyingi na sio leo baada ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.
  8. Holili

    Vyuo vya uwalimu vya serikali vinatia huruma

    Mhhh Yodoki II. Unasifia chuo cha Marangu kwa nje. Vyoo vilivyo karibu na ukumbi wa mikutano unavifahamu? Mabomba yanamwaga maji ovyo, vyoo vimeziba, ili mradi taabu mtindo mmoja. Ni sheeeeeeda.
  9. Holili

    Matokeo ya uhamisho wa waalimu TAMISEMI

    UHAMISHO UMESHATOKA. ANGALIA WEBSITE YA TAMISEMI Pmoralg - Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government | Tanzania
  10. Holili

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Enter Your form IV index number . . Enter Security Code as it appears on the right The student with Index number 'S0738.0130.2011' did not secure a higher education loan for 2014/15 academic year.
  11. Holili

    Afisa Elimu Msingi wa manispaa ya Moshi tunashindwa kumwelewa kwa kitendo cha kutupa waratibu 8

    :cool2: BUT :embarrassed: Uliona wapi sikio la binadamu likakua kupita kichwa??? Katika ujumbe wako wa siku ya Jumapili tarehe 28.09.2014 saa 3.29 usiku, mh. KIROROM, ulimlaumu Afisaelimu wa Manispaa ya Moshi kwa kukuandikia barua ya kuchelewa na kutokua kazini. Pia ulitishia kuomba mwongozo...
  12. Holili

    Nafasi za mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti (daraja la iii a) zimeshatoka?

    :hurt: Vyuo vya serikali havitaendesha mafunzo ya IIIA tena. Badala yake hivi sasa vinapokea wanachuo wa Stashahada kama inavyoonekana kwenye tovuti ya NACTE. Vyuo binafsi bado vinaendesha mafunzo ya IIIA. Mwahishe mdogo wako katika vyuo hivyo.
  13. Holili

    Tatizo kuhusu usajili wa NACTE

    :sleep: Chum Kane kakwambia too late. Nami nakwambia pole sana kwani jana 31.08.2014 ndio ilikuwa siku ya mwisho ya kujisajili. Fedha hairudi. Ajaribu mwakani.
  14. Holili

    Barua ya wazi kwa Shukuru Kawambwa

    Ndugu yangu Ndebile hii ndio taabu tuliyo nayo katika nchi hii. Kama kweli ni mwalimu, basi hapa tuhesabu 0 kwenye hiyo BRN. Jamaa hata kupanga mawazo kwenye aya hawezi. Kufuata vituo hajui. Mtiririko wa mawazo ni matatizo. Alichojua yeye ni kutoa jakamoyo linalomsibu katika moyo wake. Ushauri...
  15. Holili

    Benefits of Honey with Lemon on Skin, Hair and Health

    :welcome::welcome::welcome:Both honey and lemon are acclaimed for their multitude of health benefits. Both have antibacterial and antioxidant properties which boost the immune system. A combination of honey and lemon works together to reduce weight and promotes healthy skin and hair. Some of the...
  16. Holili

    Manispaa ya moshi – majibu ya tuhuma dhidi ya afisaelimu msingi

    :behindsofa:Wewe Kiramba ni kichwa cha mwenda wazimu na hata jina lako (KIRAMBA) linasadifu wendawazimu wako na ujinga ulio nao. Hoja za kitoto ulizotunga mwezi Mei umeona uzirudie leo baada ya kuishiwa uongo. Tunafahamu kuwa wewe na kikundi chako mnapewa fedha kwa ajili ya kumchafua Afisa Elimu...
  17. Holili

    Lema azidi kuibomoa CCM Arusha

    TAHADHARI: YAWEZEKANA HII HAMA HAMA YA WANA-CCM IKAWA NI MBINU ZA KUTUMA MAMLUKI KATIKA VYAMA VYA UPINZANI HUSUSAN CDM. UONGOZI WA CDM UKUMBUKE MREMA ALIPOTOKA CCM AKENDA NCCR NA KISHA KWENDA TLP. :A S-fire1:
  18. Holili

    Ushauri kwa matokeo haya yangu ya form six

    Sure, hii ni kweli vyuo kama smmuco, makumira, eckenford, n.k. Vyuo vya serikali vingi inaweza ikawa kidogo shida kwako. Taabu ya vyuo hivi vya private vina gharama ya juu zaidi kuliko vile vya serikali. Hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa kwenye maisha. Please do what ever you can ili uende...
  19. Holili

    Ushauri kwa matokeo haya yangu ya form six

    Si kweli. Ushauri wako mwaka huu hautamsaidia kwa sababu kuanzia 2012 TCU wanataka program uliyoitaja iendeshwe kwa mwaka mmoja. Hivyo ili apate mkopo mhusika itabidi aingie SAUT kwa mwaka mmoja kisha mwakani 2013 ndio asajiliwe chuo kikuu. Rejea GUIDELINE ya TCU mwaka 2012. Kama familia ina...
  20. Holili

    Ushauri kwa matokeo haya yangu ya form six

    Umechanganyikiwa nini wakati chuo kikuu unaingia bila taabu mwanangu wewe. Shida inaweza kuwa full mkopo kwani mwaka huu Bodi ya Mikopo wameweka vigezo tofauti kidogo na vya miaka iliyopita. Ninakushauri kabla ya ku-apply chuo, consult this website TCU.GO.TZ ili kuona GUIDELINE yao yenye...
Back
Top Bottom