Search results

  1. C

    Kwanini Kenya ni maarufu kuliko nchi nyingi za Afrika

    Looking for someone who knows how to surprise, one night only Verified Women
  2. C

    Nahitaji business partner

    iringa mko eneo gani
  3. C

    Onions Suppliers from Tanzania

    Bad unahitaji vitunguu, km yupo anayehitaji ani pm mzigo upo wakutosha upo kilosa Morogoro
  4. C

    INAUZWA Tunauza malori na matela

    Je matanker ya mafuta yapo?
  5. C

    Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

    Kiasi gani kutengenezewa hii
  6. C

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    habri wakuu, nilikuwa naulizia anayejua kwa sasa mbaazi zinapatikana wapi kwa wingi na bei yake ikoje?
  7. C

    Natafuta partnership kwenye madini

    Mtaji WA kiasi gani unaotakiwa
  8. C

    Wengi Wanashindwa kujua wapi ataipata mashine imara Kama ni miongoni Pitia Hapa

    mimi natafuta mashine ya kusaga chupa za plastic km mmewahi kuitengeneza
  9. C

    Mwekezaji anahitajika katika project hii

    Ungependa mtu awekeze kiasi gani , pm
  10. C

    Fanya biashara kidigitali

    Ghalama ya installation kiasi gani
  11. C

    Natafuta sales man ambaye ni mzoefu

    Deal closed, niwashukuru wote walionyesjha nia.
  12. C

    Natafuta sales man ambaye ni mzoefu

    yoyote ambaye anajiona anasifa tuwasiliane inbpox kazi ni Dar es salaam, gari inayotumika ni hizi ndogo km carry
  13. C

    Natafuta sales man ambaye ni mzoefu

    Natafuta salesman ambaye anauzoefu wa kusambaza bidhaa kwenye maduka ya rejareja, awe ana leseni ya udereva na awe anafahamu route angalu mbili ambazo ameishawahi kuzisambazia bidhaa, mshahara una range kati ya 250,000-280,000 kwa mwezi , maongezi ya bonus yatakuwepo kutegemea na uzoefu na...
  14. C

    Wauza nafaka tukutane hapa

    mkuu Mimi nipo tayari nipo mbezi msakuzi bei nategemea uniambie wewe na Aina za nafaka unazoweza kuleta tutaelewana tuu Hakuna shida
  15. C

    Wauza nafaka tukutane hapa

    nataka kufungua store Ya nafaka hapa Dar kwa wauzaji WA nafaka mikoani tuwasiliane tuyajenge
Back
Top Bottom