Search results

  1. godymwiru

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    waungwana mmesikia lakini wanachofanyiwa RAIA huru Wa Tanzania? hivi unaweza compare uhai Wa MTU kwa meno ya tembo?,kilichokuwa kinafanyka kukomesha ujangili ni sahihi lakini njia zilizokuwa zinatumika hazikuwa sahihi hata kdgo.not every thing is politics guys .
  2. godymwiru

    Mbowe: Sigombei urais, nitasimamia kupata mgombea bora kuingia Ikulu 2015

    Hongera Mbowe! hiyo itasaidia kuimarisha chama na shughuli za M4C kwa ujumla!tunasubiri na matamko ya wengine...........!BRAVO!!!!
  3. godymwiru

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo hayawezi kwisha kwa watanzania mpaka nchi itakapokombolewa na wazalendo
  4. godymwiru

    Tunashuhudia amani kwa mara ya mwisho Tanzania

    Niliumia sana wakati nasikiliza hii makala hasa pale walipokuwa wanachangia raia Burundi baada ya kuongea kwa uchungu sana na kutuonea huruma,nitamnukuu mmoja wao:"Tanzania 2liyokuwa 2naiona kisiwa cha amani sasa wameanza machafukio,ninawaonea huruma sana"!kwa kweli kwa ha2a 2liyofikia serikali...
Back
Top Bottom