Search results

  1. Pesambilli

    Umoja wa Ulaya (EU) waionya Tanzania juu ya ufisadi wa Lowassa

    Propaganda za CCM hizo mkuu. Achana nazo. Barua si yeyote aweza kuandika na kusema imetoka European Union?
  2. Pesambilli

    Vijana wazalendo watoa tamko

    Kweli kabisa mkuu. Mimi mwenyewe nimeshangaa sana. Anapost uzi kisha anajijibu mwenyewe
  3. Pesambilli

    Vijana wazalendo watoa tamko

    Naona unaandika halafu unajijibu mwenyewe mkuu. Pole
  4. Pesambilli

    Majimbo yenye uhakika wa kuchukuliwa na UKAWA 2015...

    Mji Mkongwe Mbeya Vijijini Mbozi Magharibi Mbozi Masharki Sumbawanga Mjini
  5. Pesambilli

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Mmmmh! Hii kali
  6. Pesambilli

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    So, what's the way forward?
  7. Pesambilli

    Simbachawene apiga simu customer care aambulia matusi acharuka

    Mmmmh! Kazi ipo. Usije ukasema Simbachewene naye anataka kugombea Urais! Maana nyie mtu akifanya jambo kidogo tayari anafaa kuwa Rais
  8. Pesambilli

    Vyama Washirika wa UKAWA vyadhihirisha kuwa ni vyakikabila, Kikanda na kidini

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Haaaaaa! Haaaaaaa! Haaaaaa! Haaaaaaa! Nyie CCM ni Wahuni tu; Sasa ukabila na ukanda ukoje hapo? NCCR Mwenyekiti wake ni Mchaga, nguvu ya chama iko Kigoma, ni kwa Wachaga kule Kigoma? Ukabila uko wapi hapo. CHADEMA ina Wabunge Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Mwanza...
  9. Pesambilli

    CHADEMA ya leo ni sawa na Mrema wa 1995

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Mwenye uwezo wa kuongoza nchi ni wewe. Ugombee Urais October, kwa tiketi ya CCM tutakupa kura mkuu! Kazi ni kwako
  10. Pesambilli

    Mbunge CHADEMA Akodisha Chopa kwa CCM Kufanyia Mikutano - Huu Sio Usaliti?

    Acha majungu kijana! Wewe kila siku umbeya tu mkuu. Sasa nikishauri kitu kimoja. Hakikisha unajiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ili upate haki ya kupiga kura kwenye Uchaguzi mkuu hapo Tar.25 October, 2015!
  11. Pesambilli

    Mpango wa UKAWA wajulikana

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Acha majungu kijana! Kichwa kinasema Mpango wa UKAWA wajulikana, wewe unaitaja CHADEMA, kwani CHADEMA ndio UKAWA?
  12. Pesambilli

    Nini kitatokea endapo UKAWA hawatashinda Oktoba 2015?

    Yap, ni kweli hata walio kwenye vyama wanasumbukia maisha yao na ni ajira kwao. Lakini siasa sio ajira inayoajiri watu wengi sana. Ni kikundi kidogo tu cha watu. Wananchi wengi ni wakulima na wafanyakazi, ambao wengi wao sio wanasiasa na ama hawana vyama! Kwa hiyo, weye piga kazi tu mkuu acha...
  13. Pesambilli

    Nini kitatokea endapo UKAWA hawatashinda Oktoba 2015?

    Achana na mazingaombwe weye kijana! Piga kazi za maendeleo kwa ajili ya nchi yako. Vyama vyote vitakuja, vitakua, na kisha kuondoka lakini nchi yako itaendelea kudumu milele na milele. Mambo ya UKAWA sijui CCM hata yasikusumbue kichwa. Wewe sumbukia maisha yako, watoto wako, ndugu zako, na nchi...
  14. Pesambilli

    Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

    Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh! Teh teh teh teh teh teh teh! Kumbe thread yako umeileta tu kipropaganda? Ni gazeti gani hilo kwanza tulijue
  15. Pesambilli

    Kwanini UKAWA hawatangazi mgombea wa URAIS mapema?

    UKAWA wanasubiri muda ufike wakuteuwe wewe ndiye uwe mgombea wa Urais! Kaa standby mkuu
  16. Pesambilli

    Godbless Lema kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara Kahama tarehe 26/4/2015

    Ha ha ha ha ha ha ha ha! Wewe ndio umepuliza mkuu
  17. Pesambilli

    NCCR - Mageuzi yateua mgombea urais, ni George Kahangwa

    Ni kweli kabisa hakuna mwenye uwezo wa kuongoza ndani ya CHADEMA. Wewe tu ndio una uwezo wa kuongoza nchi. Tutakupa wewe Urais. Jitokeze kugombea kwa tiketi ya CCM tutakupa Urais utuongoze wewe mkuu!
  18. Pesambilli

    Vijana NCCR-Mageuzi: Hatuwataki Dr. Slaa na Lipumba urais UKAWA

    Gombea kupitia CCM mkuu au wewe unaonaje!
Back
Top Bottom