Search results

  1. F

    CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

    Kwa kweli CDM munatuangusha,Mnachoamini ninyi ni kua maana ya haki ni CDM kushinda kesi zote za uchaguzi.Hao wanasheria wenu luluki mlio nao wanakazi gani.Msipojihadhari mtaporomoka sasa hivi kwa kuonenana wasumbufu.MNATUANGUSHA.
  2. F

    CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

    CDM msipojiangalia mtaporomoka sasa hivi.Mjifunze kushinda na kushindwa,Mnao wanasheria lukuki,toka lini tiba ya kutoridhishwa na hukumu ya mahakama ni maandamano.Sasa tutawaona ninyi ni wasumbufu.Mbona CCM hawakuandamana Singida.
  3. F

    PINDA - Nitatoa Maamuzi yote Jumatatu

    Tusubiri jumatatu,hata ugekuwawewe usingeliweza kutoa tamko kwa jambo kubwa kama hili wakati mwenye nyumba hayupo.
  4. F

    Vikao vya kujadili mradi wa bwawa vyafanyika kwa miaka kumi, tunakwenda wapi?

    Leo(14/4/2012) nimemsikia mkuu wa wilaya ya kibondo kwenye taarifa ya habari(STAR TV) akiwakemea wanakijiji wa kijiji kimoja wilayani humo kwa kitendo chao cha kugomea kutwaliwa kwa maeneo yao kupisha ujenzi wa bwawa la maji ,kwa hoja kuwa hawakushirikishwa. Kauli ya DC ni kuwa wanakijiji hao...
Back
Top Bottom