Search results

  1. M

    CCM inagawa ushindi kwa CHADEMA!

    Buriani wezi wa twiga na pembe za ndovu.
  2. M

    Nawapongeza TBC Fm leo asubuhi kwa kutangaza habari ya Dr Slaa

    Warushe wasirushe imekula kwao. Tbc haina hadhi tena ktk taifa hili.
  3. M

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    Waraka mlotumiana misikitini kuhusu kuchagua CCM au CUF 2005 na 2010 kwenye chaguzi kuu umesahau?
  4. M

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    walimchagua rais ili asimamie maslahi yao, nae rais akamteua makamu ili kukidhi haja zao, sasa hawaridhiki tu? ni watu wa namna gani? kila siku wanaonewa wao tu? rais wao, makamu wa rais wao, IGP wao, RPC wao, RC wao, sasa ni nani anaewaonea au wao wenyewe ndiyo wanajionea? ee MUNGU utuepushe na...
  5. M

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Fedha za EPA, Richmond, Meremeta, zinanihusu mno. Za CHADEMA hazinihusu, wamezihangaikia wao wenyewe. Kwani we una jasho lako pale?
  6. M

    Polisi waishiwa mabomu ya machozi maeneo ya Mjimwema (Kigamboni) na kukimbia!

    Eti wametumwa na CHADEMA. Si punde utayasikia hayo!
  7. M

    Watetea wa haki za binadamu waomba ushirikiano wa wenzao ulimwenguni kuhusu madaktari

    Mh! Wabunge wa mabwepande watasema CDM ndo wanaowatafutia iyo sapoti.
  8. M

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Ama zangu ama za Ulimboka!
  9. M

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Hongera Mh Lema, watakuelewa mwaka 2015, si leo.
Back
Top Bottom