Search results

  1. B

    Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

    Marekani anapoua mbona kelele si nyingi?...Iraq, Libya, Syria, Afghanistan, Vietnam, etc? Hujiulizi kwa nini? Siungi mkono mauaji ya raia. Lakini hii vita imetafutwa na NATO na hasa Marekani.
  2. B

    Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Pathetic....ndio maana hamlipi? Sasa naelewa kwanini mnangangania sana tukaombe misaada hata ambayo si lazima!....mmmh!
  3. B

    Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Pesa za mgao wa EAC Board kila nchi ilipewa zake, bila shaka hayati Karume (mzee...mungu amrehemu) anajua za Zanzibar zilipo.
  4. B

    Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Hakuna chochote kwenye huo mradi wa sukari!! Ubabaishaji mwingi. Hivi kile kiwanda chenu cha mahonda kimefikia wapi? Kimeshakata roho?
  5. B

    Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Nadhani haina shida hii kwani ni nchi mbili huru zilizoungana. Changamoto inakuja pale ambapo upande mmoja wa muungano (Tanganyika) unabebeshwa mzigo wa kulipa 'misaada' ambayo huitwa mikopo yenye masharti nafuu na mikopo na huku upande wa pili (Zanzibar) hauwajibiki/ haulipi. Hakuna fairness...
  6. B

    Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Hiki kinachojengwa sasa hivi ni cha hatari sana kwa usalama wa nchi. Rwanda, Burundi, Kenya, South Sudan, Sudan, Ethiopia, Zimbabwe n.k. wanapambana na changamoto za ama ukabila au udini baada ya madhara makubwa kutokea, sisi tunashabikia na kutaka kwenda huko kwa nguvu. Hili linavunja taifa...
  7. B

    TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Ili kipimo kiwe sawa, inabidi anaylsis ya makusanyo iwe kati ya July hadi Dec 2021 na isichanganye kipindi cha Dec 2020 hadi Juni 2021 kwani measures na policy (finacial bill) za makusanyo ya kodi kwa mwaka uliopita ni tofauti. Kwa ujumla yabidi kuongeza mbinu za kukusanya mapato kutoka kwenye...
  8. B

    Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    Hivi solution ya haya mama aliyoelezea leo ni nini? Kwa sasa vyanzo vingi vya maji, sehemu mbalimbali nchini vimevamiwa na wakulima na wafugaji (nenda Morogoro na Nyanda za Juu kusini, n.k), watu wanalima hadi mabonde ya mito, miti inakatwa hovyo kuchoma mkaa na kupata maeneo ya kilimo, n.k.Kama...
  9. B

    Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

    Tigo is not safe...nimeshajitoa.
  10. B

    Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

    Sasa naelewa vizuri kwanini viongozi wa dini huwa wanatetea mambo ya kipuuzi yasiokuwa na maslahi kwa taifa au wakati mwingi hukaa kimya! Kumbe nao ni sehemu ya ufisadi unaoliangamiza taifa. Mimi nilidhani walikuwa wanatoa kauli ya kuomba radhi na kuzirirudisha fedha walizopokea.
  11. B

    Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    Mama ni fisadi na wanaomtetea hapa ni wajomba zangu Bahaya, kaazi kweli kweli!! We have a long way to go as a country!
  12. B

    Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Nassari umeweka hii memo public ili iweje? Ni kitu gani huyu Mwigulu ameandika ambacho ni cha kukufanya uweke hii memo hapa? Looks childish! Kwa sasa namkubali Mwigulu baada ya kupoteza imani kwake hapo cku za nyuma.
  13. B

    TAKUKURU fanyeni Uchunguzi wa Haraka Wabunge Kuhongwa na Wafanyabiashara sakata la ESCROW

    Nashauri mkuu ujitaidi wakati mwingine kujenga hoja zenye mashiko!
  14. B

    TAKUKURU fanyeni Uchunguzi wa Haraka Wabunge Kuhongwa na Wafanyabiashara sakata la ESCROW

    Mbona Ole Sendeka kuanzia vikao vya ndani vya chama alikuwa anasimamia kutetea Pinda abaki? This looks ni maneno ya Umbea wa mtaani na baadhi ya wajinga wanaotetea wizi nchi hii. Leta evidence sio kuponda wale wenye msimamo kwa kurejesha uadilifu ulopotea. Kuna madudu mengi Escrow ikiwa ni...
  15. B

    Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    Hii ni scandal kwa ndugu zangu wa "infwact".... 90% ya pesa ya jamaa zimtua kwao tena kwa formular fulani! Inaonekana kulikuwa na makubaliano kabla! Kutopalia mkaa, huyu mama angetulia, na ingekuwa busara kwake kuachia ngazi mapema katika kujijenga kisiasa, ila kwa bahati mbaya ameshachelewa.
  16. B

    Hivi shule ya Prof. Anna Tibaijuka maskini gani anaweza kusoma kama alivyodai?

    Too pathetic! She thinks we are all stupid. Ni afadhali angepiga kimya.
  17. B

    James Rugemalira ana biashara lukuki, akimpa mtu hela si lazima iwe ya ESCROW

    Kwanza kwa imani yangu na nilivyolelewa, siamini katika rushwa na hii imenifanya niishi maisha ya amani siku zote. Pia siamini kwenye "cha kupewa bila jasho". Ukweli wa mambo kwa sasa ni kuwa Tanzania imeishia kuwa taifa la kuchota kila ngazi na kama unavyoweka hoja zako, hali hii inaonekana ni...
  18. B

    James Rugemalira ana biashara lukuki, akimpa mtu hela si lazima iwe ya ESCROW

    Ndugu, kuna vitu vingi vinavyohusiana na unachoandika ambavyo si kweli. In the first place, jiulize kwa nini Rugemalira na si mtu mwingine? Kwani ana utajiri gani wa kutisha? Je, unahusishaji timing ya ugawaji wa fedha tena kwa viongozi wenye dhamana serikalini na majaji na si vinginevyo? Kwa...
  19. B

    Rwanda inatuwashia double indicator & full Light, CCM ondokeni hatuwataki

    Kigamboni is another white elephant! Na hizo masterplans za miji mbona hazifuatwi?? Sina hata mji mmoja TZ wa kujivunia. Nimetembea nchi nyingi Africa SSA, kuna miji ukienda leo na ukarudi baada ya miaka mitatu unakuta imeboreka ikiwa ni pamoja na Kigali na Nairobi. Mingine inazidi kukomaa kwa...
Back
Top Bottom