BARUA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.
KWA: MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA MRISHO KIKWETE
Ndugu,
YAH: UNYANYASAJI ULIOPITILIZA WA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WASOMAO CHINA
Tafadhali rejea mada iliyotajwa...
Kwa Mfanyabiashara Faida na Hasara ni vitu vya kawaida sana, sioni tatizo kama amepata faida au Hasara, Mfanyabiashara mkubwa kama yeye anatakiwa kupongezwa kwa kuthubutu, ndio inavyotakiwa hivyo, Hata hivyo kama Mwenyewe hajajitokeza na kutuomba tumchangie kutokana na hasara aliyoipata kwa nini...
Nakuwa na wasiwasi na uelewa wako ndg yangu,
Bora usingeweka hayo maneno unayodai kayasema kabla ya kusema Mungu Ibariki Tanzania kwani hayana Uhusiano kabisa na Kichwa cha Habari "TZ haina ubavu kwa Malawi"
Labda uniambie Kichwa cha Habari kinapotosha Hotuba na Maneno aliyoyasema Mh Raisi.
Au...
Nionavyo mimi ni kweli tuna rasilimali kemkem zinazoweza kututoa hapa tulipo ila tatizo kubwa linaloikumba nchi yetu ni technology yetu, hatuwezi ku utilize hizi resources kwa kiwango kitakacho tusababisha kuepukana/kupunguza kiwango cha mikopo.
Nionavyo ni kwamba ushauri kwa serikali izidishe...
Ni haki ya Msingi ambayo sio serikali zote Duniani huwapatia wananchi wake, tunashuhudia nchi nyingi sana ambazo hawana hii haki, so kama Serikali ikiamua kupractice udicteta ktk hili inawezekana pia, mfano hata hapo Tz 2005 kurudi nyuma hatukuweza kunyanyua midomoyetu kwa kiwango hiki cha sasa.
As great thinker ongea kitu ulicho na uhakika usipende kusema .......sijui nini.
Amepewa Tuzo na sio Shahada kama unavyolinganisha hapa.
Kama hufahamu Educational Backgroung yake kwanini unaanza kum critisize mtu usiyejua?
Fuatilia Hiyo tuzo hutolewa kwa mtu wa namna gani, imetolewa na nani...
All in all, nionavyo mimi
1-Heshima kwanza, simaanishi kama mkubwa amekosea asiambiwe la, ila kutokana na mila na destuli zetu kama watanzania hatuwezi kumwambia katika staili hii hata siku moja, kuna namna nyingi za kufikisha ujumbe na ukaonekana sio muoga vilevile.
2-Bunge linaendeshwa na...
http://www.mwananchi.co.tz/habari/5-habari-za-siasa/24043-rais-amteua-wakili-wa-lulu-kuwa-jaji
Yupi katika walioteuliwa unafikiri hana weredi?
Nashauri tuwe tunafuatilia kwanza weredi wao ndio tuseme huyu hafai huyu anafaa.
Hapo juu nimetoa link ambayo unaweza pata kwa kifupi weredi wa huyo...
Kuna kitu ambacho sikubaliani nawe kuchanganya kuoneana aibu,uoga na heshima,
hivi ni vitu ni tofauti tena sana, heshima ni heshima na wala sio aibu au uoga hata siku moja.
Nifahamuvyo ni wafuasi wa vyama vya siasa wanawaheshimu viongozi wao na si kuwaogopa au kuwaonea aibu, Vivo hivyo Kikwete...
Unajua ni lini hayo masharti yametolewa?
unajua kwa nini hayakuwa implemented?
Alikuwa na uwezo wa kukubali masharti na kuyatekeleza ndivyosivyo,mbona tunaona kuna nchi ambazo walipewa masharti hayo pia lakini bado hawapo huru kihivyo,
Ustaarabu ni kitu cha bure, hauuzwi, na huwa tunasema...
Unaonekana hata hujui idadi ya Majaji wanaotakiwa unaanza kuzungumzia habari ya limit,
Tafuta kwanza habari kamili ili ujue kama wamezidi mahitaji ya nchi then anza kuzungumzia habari ya limit.
kwa taarifa yako hata idadi ya haoaliowateua ukijumlisha na waliokuwepo hawatoshelezi mahitaji.
Mnasema mdhaifu kwa sababu ametoa uhuru wa kujieleza,
wakati wa awamu zilizopita kabla yake yote haya yalikuwa yanatokea nani alikuwa anaweza kuthubutu kunyanyua mdomo wake kuyaongea? Waliojitoa mhanga kuongea tulikuwa tukishuhudia kashkash walizozipata na wengine kupotelea kusikojulikana...
Kama hujui kigezo kilichotumika katika uteuzi si ukae kimya kuliko kujifanya much know, mnajishushia hadhi zenu bure pale unapotaka tukuone unajua jambo fulani wakati hujui, ni bora mkaanzisha kikundi cha mipasho ambayo sio lazima ujue sababu ya unaloliongea, Halafu unataka tukuone nawe ni great...
Acheni mambo ya Udini,Tujadili mambo ya kuiletea Nchi maendeleo na sio "Udini na Majungu"Ili kuiletea nchi yetu maendeleo kuna changa moto nyingi sana na wala hazihusiani na masuala ya dini, Au mnataka kusema na Mhe. Joshua Nassari nae anamaanisha CDM ni Ukristo?kwanini Shukrani wanaostahili ni...
Mbunge kabla ya kapishwa ni Mbunge halali aliye chaguliwa au kuteuliwa kihalali,ila tu ili ashiriki shughuli za kibunge atatakiwa ale KIAPO CHA UAMINIFU.
Kwani wapi katika katiba imetamka Mbunge mteule? Hii ni lugha tuliyoizoea kuisema lakini haikutamkwa kwenye katiba na hakuna mtu anayeitwa...
Inabidi Tanzania kianzaishwe chuo cha kufundisha siasa tu na Upinzani ni nini,
kuna watu wanajua Upinzani ni Uadui hata mtu wa chama cha upinzani akipeana mkono na mtu wa CCM ni kosa kwao na kuanza kumuita kibaraka,
Ikishindikana chuo hata tuition tu inatosha kwani hali inakoelekea sio kuzuri...
Hawa ndio watz,
kwa kulalamika na fikiri ni Number one ulimwenguni, angemuacha pia ingesemwa kuna watu wazuri kama Prof Muhongo tunawaacha tu wanatumiwa na nchi nyingine,
mh haya, Ulimwenguni huwezi kufanya uteuzi ukamridhisha kila mtu hata siku moja kwani kila mtu ana mtazamo wake tofauti.
Siasa sio ugomvi kiasi hicho unachokifikiria,
Wakati wa uchaguzi yanasemwa mengi sana lakini uchaguzi ukiisha mnachotakiwa ni kujali maslahi ya nchi/'Taifa na sio kuendeleza siasa ambazo hazina tija katika maendeleo ya taifa hata siku moja,kinachotakiwa ni kujali maslahi ya Nchi/Taifa na sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.