Tunapokea habari za furaha za kuanza kwa mabasi yaendayo kwa kasi Jijini Dar,habari zilizopo chini ya dakika kumi basi litakuwa limetinga kituoni na kuendelea na safari kwa barabara ya Morogoro na safari ni kuanzia Ferry hadi Kimara ,asante Mradi.Lakini najiuliza kutatokea nini junction hizi...
Sitanii hapa kwetu leo 18/09/2015 hakuna umeme tokea asubuhi,huku tuliamka tukiwa na matumaini tele kuwa ule umeme wa gas unaanza leo ,Mitambo itawashwa Ubungo,Kinyerezi na mnazi bay,grid ya taifa itanona,viwanda hadi vijijini,bei poa na tutanusu maji yetu ili tuyatumie kwa kilimo cha...
Mtu si mwanachama wa CHAMA na wala simgombea wa CHAMA anatoa wapi ujasiri wa kukisema CHAMA ambacho si mwanachama naili hali si hata mwanachama wa CHAMA kingine,angalau tuseme anakisemea hicho CHAMA kingine.
Na je Fisadi ni lazima uwe msimamizi uliyekuwa na madaraka wakati wa richmondi tu?,Hawa...
Reli ya kati ilijengwa miaka ya 1920 na hadi leo ipo,na tungependa bado ina uwezo wa kusafirisha mizigo mingi kwenda hadi Kigoma na Mwanza,hivyo hivyo kwa reli ya Tanga hadi Arusha,hata hii ya TAZARA. Linganisha na barabara zilizojengwa kipindi cha Rais Mstaafu Mkapa na Hizi za awamu ya nne...
Nimekuwa nikifuatilia mambo mengi yanayotokea hapa kwetu, na nimegundua tuwarahisi kusahau mambo makubwa na yenye athari na maisha yetu na kurukia mamba mapya yanayoibuka, kwa mfano hakuna anayefuatilia uchimbaji wa almasi Mwadui,uharibifu wa mazingira,na ufukara wa wananchi wanaozunguka mgodi...
Wao ndio Waajiri na wanaweza kuweka masharti kwa Madereva waliowaajiri wao,wote si tunajua maisha ya utumishi? ili udumu kwenye utumishi ni lazima ufuate masharti ya Utumishi,Matajiri hawa wana uwezo wa kuwapangia madereva wao waendeshe vipi magari yao,wapakize abiria wangapi, wanywe saa ngapi...
Ni ukweli usiopingika kuwa Wafalme wote,Malkia wote, Marais wote, wawe wa kidemokrasia ,kididekta,au liberals wapende wasipende ni lazima wawe Watawala,wafanye shughuli zao kama watawala yaani wawe ni watu wa kutoa maelekezo,Maagizo,amri ,Makatazo huku wakiwa na washauri mbalimbali wenye...
Ni jambo la kushangaza mno kama Serikali yetu inao uwezo wa kukusanya shilingi Trilioni moja alafu haitumii,
inazikusanya kwenye makasiki ili kujivunia kwa mwaka imekusanya magunia mangapi ya noti.
Kwa kuwa taasisi yetu hii ni taasisi isiyo ya kusaka faida(non profit org) hakuna haja ya kuhesabu...
kwa taarifa kituo cha mabasi cha Ubungo kinasimamiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar linaloongozwa na Nstahiki Meya Masburi wa CCM.Na si Manispaa ya Kinondomi.
Angalia,
Rais yuko fit
Makamu wa Rais yuko fit
Waziri Mkuu yuko fit
Mawaziri wote wako fit
Wakuu wa,mikoa wote wako fit
Makamanda wa J W t wako fit
LINGANISHA na
RPC Vitambi tu
RCO vitambi tu
OCD Vitambi tu
OCS Vitambi tu
Makamanda wa FFU Vitambi tu
Hivi vitambi kwanini wengi ni wao tu
Kama ajali zinasababishwa na watumishi yaani madereva wa mabasi wa makampuni ya mabasi kwa makusudi ,kwanini isipitishwe sheria kuwa kila inapotokea ajali ya uzembe wa madereva wa mabasi pamoja na hatua nyingine za kisheria mmiliki wa basi husika awe na wajibu wa kuwalea Wategemezi wote wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.