Hivi wajameni sheria au maadili ya ugombeaji nafasi ya siasa inaruhusu mtu asiye mwanachama au mgomb

mringi

Member
Apr 4, 2012
99
22
Mtu si mwanachama wa CHAMA na wala simgombea wa CHAMA anatoa wapi ujasiri wa kukisema CHAMA ambacho si mwanachama naili hali si hata mwanachama wa CHAMA kingine,angalau tuseme anakisemea hicho CHAMA kingine.
Na je Fisadi ni lazima uwe msimamizi uliyekuwa na madaraka wakati wa richmondi tu?,Hawa waliokuwa na madaraka wakati wa;EPA,RADA,NDEGE YA RAIS,MABEHEWA YA TRENI,MIKATABA MIBOVU YA MADINI,KATIBA MPYA, VITAMBULISHO VYA TAIFA,EHE URANI NA SASA GAS NI MALAIKA SIYO?,UFISADI SI UCHAFU Kamaa kuzini na watoto wadogo,kuwa malaya, kunyang'anya wake za watu wenye vipato vidogo,na au waume wa watu wenye vipato vikubwa
' NAAM HAKUNA MSAFI HATA MMOJA'
 
Back
Top Bottom