Search results

  1. K

    Natafuta mume inshaahal wenye vigezo karibuni

    Natafuta mume WA kunioa tuishi milele inshaala awe muislam,,,umri uwe kuanzia 35 NA kuendelea sitojali kama unamke,,,,maisha yawe at list uwe unayamudu,,,,,awe anaishi far au sehemu yoyote sijali kabila, niko tayari kuolewa mda wowote tukiridhiana,,,,,,vigezo NA masharti kuzingatiwa. 0719419206
  2. K

    naomba ushauri na msaada kitiba

    habari zenu wana jf,,,,,,miminasumbuliwa na mistari mwilini yani streach mark ziko kiunoni na mapajani,,,,,nimejaribu dawa za sh amor mda sana bila mafanikio zimenitokea baada ya kunenepa, ,,,,,,,,nisaidieni nipone natamani niwe kama zamani
Back
Top Bottom