Search results

  1. O

    Mchakato huu wa Katiba ufanywe kwa uwiano

    Watakaoharibu mchakato huu wa katiba ni walewale tunaozan wanaifaham katiba, watakaotumia muda mwingi kujifanya wanawatafsilia wengine kwa mitizamo yao ili waungwe mkono, Iikumbukwe kuwa mwaka 1992 waliowengi walikataa vyama vingi si kwamba hawakuona umuhim wake bali ni matokeo ya tafsiri za...
  2. O

    Katiba Ijayo Ipige Marufuku Ya CCM, CHADEMA, CUF Na Wengine Kuwa Na ' Wanamgambo' Wao

    Uwe na akiri ya kuona mbali usiendeshwe na hisia, ukikosa hoja usichangie, CCM itatolewa 2015 itakusaidia nini vikiibuka vikundi kama BOKO HARAMS, JANJA WEED nk
  3. O

    Hivi rais na wabunge baadhi wa CCM wanastahili pongezi au shukrani kwa hili?

    Nikichukua kadi ya chama chochote kadi ya hivyo vyama vyenu nitachangia maana sijajifunza bado malumbano.
  4. O

    Hatumtaki James Millya Arusha Mjini: Tunasema NOOO, big NOOOO. Take note Mh: Godbless Lema

    Ninachoamini CDM ina watu makini sana lakina napata hofu kubwa sana inapotokea mtu alikuwa ni mshirika mkubwa wa mtu anaetuhumiwa kuwa fisadi mkubwa anageuka kuwa shujaa ghafla et sababu tu kahamia CDM bila kujali historia yake, hili la MALYA limenipa shida sana juu ya msimamo wa CDM na...
  5. O

    Makongoro Nyerere Kugombea Arusha Mjini

    Hizi si enz zile tulizokuwa tunasema afadhali fulan alikuwa anafisad lakin maisha yalikuwa rahisi no tunahitaji mwatu sahihi mkapa ndie mwasisi wa ufisadi wote tunaouzungumzia leo
  6. O

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Inasikitisha sana kuona nchi inaweza kuendeshwa kwa maigizo na vibweka namna hii, nchi yenye watu masikini wasiojua watakula nini, nimesoma na kusikia uwepo wa viongozi wabovu duniani lakin hawa wa TANZANIA ni aibu ya kutupwa, its really shame to be under this leadership.
  7. O

    Obadiabula

    Habari wanajamii
  8. O

    Obadiabula

    Tuzungumze tuokea taifa hili
Back
Top Bottom