Kutokana na sababu za kiusalama na watekaji kuzidi kufuatilia hospitali alipo huko South. Source Gazeti la Mwananchi. Naomba wanajamvi mtupashe mkipata ukweli. Mungu ni Mwema na atawaumbua Wahusika mchana kweupe.
Bajeti ya mwaka 2012/2013 imepitishwa kwa mbunge mmojammoja kusema ndiyo au hapana je hii imewatendea haki wabunge ambao hawakuwa tayari kupitisha lakini kwa kuwa anatamka live ataogopa kusema hapana. Naomba tujadili kidogo.
Amekana kuwa hakusema Arusha itakuwa kama Sudani Kusini. Anawaomba Watanzania wamwelewe vizuri na kama kuna watu amewakwaza kwa kuelewa kauli vinginevyo wamsamehe. Atarudi polisi kesho. Source Sunrise Radio. M4C Aluta continua!
Leo ni siku ya wafanyakazi duniani. JK atazungumza na wafanyakazi kupitia sherehe za mei mosi. Atakuwa na jipya la kuwaambia wafanyakazi maana amekuwa hatekelezi ahadi zake?
Amesahau alipowaambia wafanyakazi akili zao wachanganye na za mbayuwayu wakati wa mgomo wao na kuwaambi wagome hata...
Wanajamvi inawezekanaje baraza jipya kutangazwa kabla ya lile la zamani kuvunjwa? Au linaundwa yawe mawili? Nashangaa kusikia tetesi kuwa baraza jipya litatangazwa muda wowote wakati la zamani halijavunjwa.
Wakuu tukumbuke EL alikumbwa na kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond iliyomfanya achukue maamuzi magumu ya kujiuzulu Uwazi Mkuu ili kupisha uchunguzi zaidi. Pia aliweza kuchukua maji kutoka Ziwa Viktoria bila kibali toka Misri ambapo chanzo cha mto Nile ipo. Sasa kuna sakata la...
Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila.
Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama...
Wanajamvi naomba mwenye taarifa za EL kutoa maamuzi magumu leo atujuze. Au zile tetesi zilikuwa za kupima mwelekeo wa upepo? Nahisi gamba lake bado gumu na itafika siku litababuka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.