Search results

  1. B

    Majanga: Waziri Muhongo Asusia Ndege, Kisa, Kakosa Daraja La Kwanza

    Waziri mwenye nyodo na dharau kuliko wote Tanzania
  2. B

    KUHUSU Katiba ya CHADEMA, ufafanuzi huu hapa; watoa tuhuma hawana hoja, walete nyaraka

    Huo ni uhuni na ushenzi.....katiba gani duniani isiyoweka ukomo wa utawala wa viongozi?iko wapi demokrasia sasa?Badilisheni chadema kiwe chama cha kifalme au cha kidikteta tujue moja basi,mpka mungu atakapomchukua kiongozi mmoja ndipo achaguliwe mwingine...NIMERUDISHA RASIMI KADI YA CHADEMA LEO
  3. B

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    ....tena wapigwee tuu maana tumechoka sasa....His excellency Mizengo pinda
  4. B

    Wakili CHADEMA kesi ya Igunga, Peter Kibatala atoa tamko juu ya hali ya wateja wake

    Kumsafirisha mtu kwa siri,ukimnyima hata haki ya kula ndio kazi ya polisi?polisi wangekuwa na nia njema ya kutoa haki kwa aliemwagiwa tindikali,wangetenda haki pia kwa watuhumiwa..jeshi la polisi linatumia ubongo uliooza unaotoa funza...wa mwigulu nchemba na wenzake....HAKUNA UTAWALA...
  5. B

    Taarifa ya Jeshi la Polisi kukanusha taarifa ya gazeti la Jamhuri

    Askari aliefichua maovu ya polisi waandamizi wanaojihusisha na mitandao ya ujambazi morogoro mwaka juzi aliambiwa MGONJWA WA AKILI. Askari mwingine wa arusha nae alijitoa muhanga akaweka hadharani unyanyasaji mkubwa unaofanywa na maafisa wa juu wa jeshi la polisi kwa askari wa chini naye...
  6. B

    Utumishi mnaita Interview watu 1045 kwa nafasi 5?

    Unaonekana hujitambui..utaratibu wa kushortlist unategemea nafasi za kazi.kanuni za recruitment zinataka shortlist sio longlist ndio maana tunatuma CV ili waweze kupunguza watu..huwez kuita watu 1000 kwa nafasi 5,angalia resources wanazotumia kuita watu 1000,magari,wasimamizi wengi,usahishaji...
  7. B

    Lema aumbuka! Namba ya simu aliyodai ya Mulongo ilikuwa ni Uzushi

    Hatukuhitaji kujua center namba ya sms, tulichotaka kujua ni nani alietuma sms???????matope hayabebeki......
  8. B

    Mulongo: Sijawahi kutuma ujumbe wa vitisho kwa Lema

    Jaman wana jamii nimeona barua ya jana tar 21 May 2013 ya RPC arusha akimkingia kifua bosi wake RC (mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa), nikiwa mtanzania mwenye akili timamu nimejiuliza maswali yafuatayo; 1.Kama center namba iliyotuma ujumbe huo ni ya nje,kwanini namba ya simu...
  9. B

    Ushauri wa Msigwa ulipuuzwa.

    CCM wanatapatapa....wanatumia nguvu badala ya akili....napendekeza polisi ibadilishwe jina,iitwe idara ya chama cha mapinduzi
  10. B

    Charles Mullinda wa New Habari: Nimejitoa Kwenye Jukwaa La Wahariri Tanzania

    Mbona barua yako haina tarehe?acha ushamba.....kutumiwa kubaya
  11. B

    'Mambo ya Kinana' yaipaisha Tanzania!

    Huhitaji kuwa "rocket scientist" kujua kwamba CCM wana lengo la kuifilisi nchi hii.Tembo 57 hufa kila siku Tanganyika ili kukipatia fedha za kutosha chama cha mapinduzi kuhakikisha wanahonga watu na kuiba kura ili kibaki madarakani.Wameuza kwa bei ya kutupa migodi yote ya almasi na dhahabu,Juzi...
  12. B

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    Akili yako haina akili,inawezekana baba ako yuko usalama wa taifa
  13. B

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Habari za kuthibitika kutoka wapi?usitupotezee muda na thread zisizo na source hazina kichwa wala miguu
  14. B

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    Ukienda upande wa logic pia unaprove kuwa clip hiyo is a descent simulation..Huyo aliekuwa anaelekezwa mbona hajachangia chochote?na hajaonyeshwa karibu dakika zote...intentionally alieonyeshwa ni rwakatale tuu ambae ndio walimtarget...mpango huo haukuwa na mshiriki mwingine yoyote?matukio...
  15. B

    Kova: Kutekwa kwa Kibanda si tukio la kihalifu!

    ...Jamani ni SIRI ZA TAIFA......
  16. B

    KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

    ........ni SIRI YA TAIFA.........
  17. B

    Elimu ya Nape Nnauye

    Acheni ujinga nyie...form six,masters,b achelor hazitusaiii na wala sioo vigezo pekee vya kupima watu....angalieni deliverables.....Nape anadeli ver vipi na Mnyika anadeliver vip?
  18. B

    Nape amtaka Mnyika kujitokeza mbele ya Wananchi kuweka wazi Kiwango cha Elimu yake

    Nape does not think....kinachorudisha nyuma maendeleo ya Tanzania ni kupima uwezo wa watu kwa kuangalia vyeti/kujuana........Hata kama Mnyika bado angekuwa darasa la saba yet he is outstanding and bright minded figure..ana uwezo mkubwa sana wa kupambanua mambo kujenga hoja na kuwapigania maskini...
  19. B

    Waziri Nchimbi afukuzwa kwenye mazishi ya mchungaji wa aliyeuliwa kwenye vurugu za kidini

    Nchimbi ni moja kati mawaziri dhaifu sana,uwezo wake ni mdogo sana,ukimtazama hata anavyoongea utaona jinsi uwezo wake wa kufikiri ulivyo mdogo,aidha elimu yake pia ni zile za kununua,kwa hivo msimshangae kwanini ameshindwa kudeliver kwenye wizara hii....tumshangae JK kwa kumpa wizara nyeti mtu...
  20. B

    Spika Makinda aburuza Bunge; aahirisha Bunge hadi kesho...

    Hata kabla ya nusu ya kipindi cha uongozi wake mh.spika wa bunge mama makinda ameanza kulalamikiwa kila kona ya nchi, kibaya zaidi analalamikiwa hadi na wabunge wa chama chake mwenyewe. Analalamikiwa kuwa anaendeshwa na waziri mkuu na lukuvi...hao ndio maspika wa bunge...wanamuelekeza jinsi ya...
Back
Top Bottom