Search results

  1. M

    Serikali: Waliooana na wahamiaji haramu wavunje ndoa hizo

    Makubwa haya mzee. Ninavyojua mimi kama nimebahatika kupata mke ambaye si Mtanzania kumbe siruhusiwi kumleta nyumbani? Inawezekana alikuwa anaishi bila hati maalum, lakini sasa ni mke wangu na tayari tumepata kibali cha serikali kuwa huyo ni mke wangu (Ndoa aina yeyote halali). Sasa hili...
  2. M

    Makada wa CHADEMA na makada wa CCM

    Kwa mtazamo wangu, ningetegemea makamanda wa CHADEMA, wangekuwa watetezi wa mitazamo, maono na sere za CHADEMA, na ndivyo walivyo! Na vivyohivyo makada wa CCM, nao wangekuwa watetezi wa maono, mitazamo na sera za CCM, lakini kila ninapoingia mitandaoni naiona CHADEMA zaidi ikitangazwa kwa...
  3. M

    CHADEMA: Kama Rais akipuuza kuunda tume huru ya majaji Arusha nini hatima yake?

    Usipokuwa na upeo wa sheria za nchi basi hili litakusumbua sana. Kila mtanzania anao uhuru wa kusema kile apendacho ili mradi hakiingiliaa haki za mwingine. Hakuna mtu mwenye uwezo wa kumlazimisha atoe huo ushahidi kwa Police. Kimsingi hajakataa ila utaratibu wa kutoa ndio ufuatwe. Tangu lini...
  4. M

    Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    Mawazo anayotoa huyu jamaa, siyo ya kututia maswali, ni akili yake ndogo tu na mwisho wake wa kufikiri ndo umeishia hapo. Ukibishana na mjina nawe utakuwa mjinga. Tuelewe kuwa Mbowe ni Mtanzani na hata akifanya kazi za chama bado anabaki kuwa mmoja wa Watanzania na kazi hizo ni kwa ajili ya...
  5. M

    Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

    Pole sana Mwigulu kwa mawazo ya kipuuzi unayotuambia hapa. Yaliyokupata Arusha umeyasahau_? Wala usithubutu kutoka huko ulikojificha natumaini upo hatarini sana. Wewe ni tatizo na CCM ikitaka kupona basi lazima ikufukuze uanachama haraka. Wewe ni tatizo katika nchi yenye amani maana hujui...
  6. M

    Sasa vita mpya CHADEMA, CCM

    :A S kiss:
  7. M

    Sasa vita mpya CHADEMA, CCM

    Sasa vita mpya CHADEMA, CCM •Huu ni ukweli usiopingika. Sasa kama yasemwayo siyo ya kweli mbona Mheshimiwa Rais wetu JK anakaa kimya? Inabidi ayatolee majibu. Maswali muhimu ambayo anapaswa kuyajibu ni haya 1. Je ni kweli kuwa CCM ina Green Guard? 2. Wana maana gani kukataa miiko ya viongozi...
  8. M

    Maaskofu waipinga CHADEMA...

    :A S kiss:
  9. M

    CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    Hongera rais kwa hatua hiyo muhimu uliyochukua lakini umechelewa mno. Ulikuwa wapi usione uozo wa ndugu zako serikalini hadi upigiwe tarumbeta. Sasa nafikiri ukitaka upande tena chati basi fanya yafuatayo 1. Unda baraza makini, ikiwezeka na ikimpendeza Mungu na watu changanya hata Wapinzani...
  10. M

    Katibu CCM afichua Siri ya Mnyika kumzushia Mama Kikwete

    Jamani ukiona mzigo usingoje mpaka uoze ndiyo uufukie. Si unajua utanuka na mazingira yataharibika. Hii sasa ni kujipa moyo mwanaharam apite. Lakini kumbuka ukweli WAMA wanao na hivi lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Kama kweli Salma amezushiwa na Mh. Mnyika si ampeleke Mahakamani. Asipofanya...
  11. M

    Tujikumbushe Kauli tata katika kampeni

    Kumbe wana CCM wahuni sanae, inakuwaje wanawatia mimba wanaCDM wote? Ndiyo yaliyojiri huko Bungeni ama? Mtu mzima huwezi onge hivi. Lakini najua jamaa ananijua sana kwani kasema yeye ni kichaa/mwendawazimu wa kuzaliwa. Kwa nini aende bungeni wakati yeye ni kichaa? Kikwete Baba chonde ukimwacha...
  12. M

    Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

    Huo ni uzushi hakuna jipya. Lema kamanda haiwezekani kushindwa ubunge ni kipaji chake
  13. M

    Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

    Hiyo siyo sauti ya Mungu bali ya Lusiferi Lusinde. Tumwache tu kwani ukishindana na kichaa nawe utaitwa kichaa au siyo. Alikiri mwenyewe ni kichaa wa kuzaliwa hivi huko Bungeni anafanya nini wakati yeye ni kichaa? Watanzania mnahitaji ushahidi gani tena kwa hili? Kama hayo ndiyo maneno ya ccm...
  14. M

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Alikuwa anaongea kama aina ya shetani fulani hivi. Hili wazo ni zuri, akina Lema wamekashifiwa waende kumweka lupango ili adhibitishe matusi yake. Na hata kaka Slaa wewe ni msomi kama mtendaji na kamanda kiongozi basi chukua hatua kwa hili ni mazoea ya waliopungukiwa na sera huko CCM...
  15. M

    Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

    Naomba sheria ishike mkondo wake. Je matusi aliyosema wazi kweli huyu mtu ana watoto kweli? Anaongea huku anaona watoto wanamsikiliza aibu wana CCM. Mpeni tuzo bora ya kumwaga matusi na chama aondoke amewaibisha huyo Lusinde hana hata chembe ya busara.
  16. M

    Siri ya kushindwa CCM Arumeru Mashariki

    Nafikiri muda umefika sasa CCM kujiandaa kuachia utawala wa nchi hii. kwa nini tusifanye mabadiliko kwani ukiangalia CCM nani msafi ndani yake? Inanisikitisha kwani hawana upendo na wala uchungu wa Watanzania wengi tunaoishi kwenye mazingira magumu sana, chakula, umeme, nk.
  17. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Ni muhimu akaenda huko Bungeni na tuone mabadiliko siyo tu kujifanya leo ameshinda na kesho awe kama Mwana CCM. Hongera sana Chadema , mnaweza mkitaka, Kamwe msijiingeze kweny ufisadi. huyo mbunge wa Mtera aisee kaniudhi sana anaongea kama mtoto wa Chekechea, utadhani aliishia la salba. Naye...
  18. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Ni muhimu akaenda huko Bungeni na tuone mabadiliko siyo tu kujifanya leo ameshinda na kesho awe kama Mwana CCM. Hongera sana Chadema , mnaweza mkitaka, Kamwe msijiingeze kweny ufisadi. huyo mbunge wa Mtera aisee kaniudhi sana anaongea kama mtoto wa Chekechea, utadhani aliishia la salba. Naye...
Back
Top Bottom