Search results

  1. JambaziSugu

    Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    Pole sana ndugu yangu. Mm sitakuja kuamini mwanamke tena ni mistake nimefanya. Najutia.
  2. JambaziSugu

    Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    Asante sana ndugu
  3. JambaziSugu

    Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    Pesa sio sababu mkuu. Hujawahi sikia mke wa tajiri katoka na houseboy au mlinzi wa geti. Hawa viumbe kuwaelewa ni ngumu ndugu.
  4. JambaziSugu

    Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    Asante kwa ushauri ndugu
  5. JambaziSugu

    Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    Nashukuru kwa ushauri mkuu.
  6. JambaziSugu

    Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    Asante sana ndugu yangu kwa ushauri. Na mimi pia nimejiuliza maswali hayo.
  7. JambaziSugu

    Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    Poleni na majumukumu. Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano. Binti huyu ni yeye ndiye aliyenitafuta na kuonesha kuvutiwa na mimi. Hakuwa mrembo, ila alionekana ni mwenye imani ya dini...
  8. JambaziSugu

    All international flights in Tanzania to pass through JKIA Nairobi

    5 GB/s? Duh hapo unatuokota tena mkuu.
  9. JambaziSugu

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aisee pata-change sana mzee. Itakuwa hatari.
  10. JambaziSugu

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    [emoji3][emoji3] Kweli mkuu. Jamaa wanaonekana hawapo sawa kabisa. Halafu mtangazaji bado anakomaa nao tu. Sema hao Jamvi Tv, shots zao zamoto sana. Millard this time hajaweka drone shots.
  11. JambaziSugu

    Kenya is sick, Kenya is in ICU

    You’ve forgotten SGR
  12. JambaziSugu

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wameshaanza kulegeza uzi kama kawaida.
  13. JambaziSugu

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    [emoji3][emoji3].. nilijua ataingia na jet pack kama Wacko Jacko bana. Ila sio mbaya, ametisha.
  14. JambaziSugu

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ilikuwa noma mkuu.. sema tembo ana sifa sana mzee, sijui kama hajateguka kiuno pale.
  15. JambaziSugu

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aisee kumbe ligi yetu inapiga hatua sana. In recent days nimeona mpira wetu unatrend sana Africa. Cheki wapopo wanashangaa vyuti vya Yanga, wakiwish one day clubs zao zifike hapo. Sisi tunachukulia poa aisee.
  16. JambaziSugu

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787].. majamaa zero brain kabisa.
Back
Top Bottom