Search results

  1. Jodeny

    Pembe za ndovu za zaidi ya Sh Milioni 800 toka Dar zakamatwa Uswisi

    Taarifa ya wizara ya maliasili kuhusiana na sakata hili
  2. Jodeny

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Jimbo la singida Kaskazini nyalandu kashinda: Katika kata ya Ilongero. Nyalandu 667, Mpombo 88, Monko 608/1/15, 10:57:30 PM: Am Still Damas: Kata ya Maghojoa: Nyalandu 743, Monko 72, Mpombo 26, Aron 16, Mungwe 15 8/1/15, 10:57:30 PM: Am Still Damas: Kata ya Mrama: Nyalandu 744, Monko 125...
  3. Jodeny

    Waziri Nyalandu afungua mkutano wa WMA na wadau wa utalii

    WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha...
  4. Jodeny

    William Ngeleja arejesha fomu za urais kwa kishindo

    Ngeleja atikisa Dodoma, arejesha fomu za urais MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amesema amepata fundisho kubwa katika harakati zake za kuwaomba udhamini ili ateuliwe kuwania urais na kwamba, limemuongezea shauku kubwa ya uongozi. Ngeleja, ambaye amepata kuwa Waziri wa Nishati na Madini...
  5. Jodeny

    Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Nassari ni mfano wa wabunge wababaishaji, anatafuta kiki ya kisiasa akaona bora kumgusa nyalandu. Mbona hawajagusa viongozi wa chadema wanaobadilishana wanawake. Wabunge wengine wamezalishwa humo humo. Na hayo maneno kuwa kuwa akisikia mbunge anamgusa nyalandu anaruka juu na kumwangukia, sasa...
  6. Jodeny

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Hahahahaha njaa zitawaua vijana, fanyeni kazi coz hata hao mnaowalamba miguu wakifanikiwa hawataweza kuwakumbuka nyote hadi nyie vipwapwito zaidi ya wahindi ambao watapewa tenda na kupiga deal za maana.
  7. Jodeny

    Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Huyu nassari pia ni aina ya wabunge maslahi na mtoa sifa nyingi anapokuwa na shida, aliwahi kusifia utendaji wa nyalandu na kuahidi kumwangukia mtu bungeni. Kweli hii ni Lala salama
  8. Jodeny

    Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Watanzania mlitakiwa kuongozwa na iddi amini ili akili ziwakae sawa maana kwa kupoteza muda kujadili upuuzi hatujambo,hiyo ishu ya nyalandu mbona sio kama mnavyoitolea macho.?!!! Huyo anti Ezekiel mara zote amekana kupelekwa huko na nyalandu sasa duh mnataka kumlazimisha iwe kweli ili iweje?
  9. Jodeny

    Ubunge Arusha mjini: Hiki ndicho kitakachomnyima Philemon (Monaban)

    Endeleeni kuzoza nilijua umeshuka na nondo za ukweli kumbe wivu tu. Wananchi wa Arusha wataamua ndio walioshika mpini
  10. Jodeny

    Ikiwa picha hii ni ya kweli, Nyalandu lazima ajiuzulu

    Hakuna cha ajabu hapo ni namna ya kiongozi kuwa karibu na kuwatia moto wapiganaji wako, ingekuwa faragha hapo ni ishu nyingine. Wabongo mnapenda kuzoza sana
  11. Jodeny

    Huyu ndo Rais mtarajiwa wa awamu wa 5 ambaye watanzania wanamhitaji sana

    watanzania hawataka viongozi wagonjwa wakati taifa lina hazina kubwa ya vijana wenye uwezo, hao mnaowataka kwa ajili ya kupoza njaa zenu za muda mfupi wachagueni kuongoza familia zenu coz inaonekana wenyewe mmeshindwa so acheni wawasaidie. acheni wafu wazikwe na wafu wao.
  12. Jodeny

    Diana Chololo na Martha Mlata hawajawahi kurudi jimboni kusikiliza kero

    mtoa mada una uhakika hiki ulichoandika kwa sabubu kama huyu martha mlata ndio anaongoza kwa kupeleka misaada kwa vijana na wanawake wa singida kuliko hata wabunge wa majimbo labda huyo chilolo ndio sijamsikia.
  13. Jodeny

    Nyalandu amaliza utata wa tozo

    WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ametia saini Tangazo la Serikali (GN) kuhusiana na utozaji toza kwa hoteli za kitalii zilizopo katika Hifadhi za Taifa. Pia amewaonya wawekezaji wanaokwepa kulipa kodi halali za serikali kuwa, hatasita kuchukua hatua kali na kwamba, ni lazima...
  14. Jodeny

    Viongozi wa dini wamuunga mkono Nyalandu

    VIONGOZI wa dini mbalimbali nchini wamejitosa kusaidia harakati za serikali katika kukabiliana na ujangili wa wanyamapori kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba. Jana viongozi wa dini wa ngazi za juu walikutana kujadili masuala mbalimbali katika kufanikisha vita dhidi ya ujangili, ambapo...
  15. Jodeny

    Mama Tibaijuka, Flora Mbasha &Co.-Mtashinda tu!

    Ningemuona wa maana sana huyu mama kama sehemu ya hela alizokwapua angezipeleka jimboni mwake kuhudumia wananchi wanaoteseka kwa kukosa maji, wanafunzi mashuleni na si kupeleka kwenye shule yake binafsi ambayo ina kila kitu kinachotakiwa kuwa nacho shule ya kimataifa. Bukoba matokeo ya darasa la...
  16. Jodeny

    Uchaguzi S/Mitaa: Mkutano wa Lowassa Monduli waisha kwa zomeazomea na mlinzi wake kutishia watu bast

    Hapa ni njaa zinashindana wala si akili zenu. Nina imani siku mkishiba hizi kelele zenu za kipuuzi na zisizo na chembe ya busara mbele ya wanaume wenye akili zao timamu mtabaini mlipotoka na kuonyesha uungwana kwa kukaa kimya ama kuomba radhi. pumbavu
  17. Jodeny

    Vurugu za wakulima na wafugaji zafunga barabara Dumila

    Mijitu mingine ni mijinga ajabu, yaani watu wanaleta vitu badala ya kujadili na kuwa na mawazo mbadala yenye kujenga yenyewe yanakimbilia kwa rais. Tufungue vichwa vyetu tusisukumwe na itikadi za kisiasa na kushindwa kujadiliana mambo ya msingi. Sasa ugonjwa wa rais umeingiaje hapa kwenye vurugu...
  18. Jodeny

    Sasa nimeelewa siri ya utajiri wa Ridhiwan Kikwete

    taarifa hii ni ya kuzushi coz haielezi chochote na huo utajiri hauonekani
Back
Top Bottom