Search results

  1. L

    Nyumba ya Capt. John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada

    kukopa ni raha kulipa ni matanga
  2. L

    Serikali yakanusha kuhusu ndege ya rais wa China kubeba Pembe za ndovu na kusema ni uongo

    Wamarekani wanatuonea wiv sisi watz kuwa marafik wa china?ajab sana
  3. L

    Nimeshuhudia mwenyekiti wa CHADEMA akitukanwa na wananchi mkoani Dodoma

    Dodoma msongamano upo wap?simiyu kubali kuwa hii ni story ya kutunga!
  4. L

    Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Kwa hyo tume ya warioba ilikusanya maoni ya wahuni?nyie kina songoro mnaandika vitu bila kutafakari
  5. L

    CHADEMA Njooni na Majibu ya Kuhujumiwa na CCM na Usalama wa Taifa vinginevyo Mnajidhalilisha

    Mnataka ushahidi gani?magufuli aliposema ccm ina makada kila idara serikalini na kwamba makada hao hawatakubali chama chao kiangushwe kwenye uchaguzi zaidi ya hapo mnataka ushahidi gani?
  6. L

    Taarifa ya Baraza la CHADEMA mkoa wa Singida kwa Umma

    Ccm mnahangaika sana,hata kama mambo mengine ni magumu kuelewa hilo la kiongoz aliyekwisha jiuzulu kuonekana kwenye listi ya hao 82 ni kithibitisho tosha kuwa huo ni mpango wa kutengenezwa.
  7. L

    Kiongozi wa UKAWA na Katibu Mkuu NCCR akamatwa na Polisi!

    Hugochaves unajidhalilisha mwenyewe! Mtu mwenye akili hawez andika vitu vya ovyo ka unavoandika.
  8. L

    Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Wanaofanya siasa kama maigizo ni wale wanaobubujikwa machoz kwenye mikutano ya hadhara kisa wananchi wana hali ngumu ya kimaisha. Tumieni akili zenu nyie wahun wa ccm matusi mengine mnajitukana wenyewe
  9. L

    Zitto Kabwe ampiga 'kijembe' Tundu Lissu kuhusu hoja za hati ya Muungano.

    Mwanadiwani kwa post kama hizi na ww unataka kuitwa great thinker? Watu walioenda shule wanajiuliza kundi ambalo wewe upo linashindwa nin kutambua kuwa nchi mbili kuungana na kuunda serikali inawezekanaje? Jitendee haki mwenyewe and try to get out of darkness,wasomi hawachukui vitu jumla jumla...
  10. L

    Wana siasa wa CCM naombeni mnieleweshe hili

    Ni swali zuri sana,jibu ni siasa hasa pale kunapokuwa na ushindan na maamuz mengi kufanyika kwa kura za ndyooooooooo.
  11. L

    CV ya Dr. Francis

    Ni mtumwa sana wa umarekani hasa kwnye kutamka maneno. Namkumbuka sana kipnd hicho udsm ana masifa sana
  12. L

    Nani anayechochea vurugu Zanzibar?

    Faizafoxy ni muumin wa serikali tatu kwa jinsi anavomshughulikia hilo liccm
  13. L

    Kizazi Cha vijana toka 1981-2001 ni vilaza Tupu!!

    We na umr wako mkubwa ndo hujielewi! Mahangaiko yote kumbe unataka tukuunge mkono na muungano wenu wa serikali mbili,bora niwe kilaza machon pako nibak nikidai tanganyika ambayo babu zangu walitoa hadi jasho la damu wakidai uhuru. Ccm katika hili la muungano mtatusameheme,tanganyika kwanza...
  14. L

    Kikwete: Sina tatizo na uwepo wa Serikali tatu Tanzania!

    Wananchi gan tena anawaongelea?badala ya kusema wananchi angesema wanaccm wakikubali yy hana shida maana kama ni wananchi kweli ndo waliotoa maoni yaliyopelekea tume kupendekeza serikali 3
  15. L

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

    Leo alionja joto la jiwe
  16. L

    Hivi kwanini tunajiaminisha kwamba CCM na baadhi ya watu sio Wananchi?

    Mkuu bethlehem jib hoja,umeanzisha mjadala usikwepe hoja nzto zinazohitaj mchango wako kama mwanaccm. Kwanin tupo hapa tulipo kimaendeleo?rasilimali nying mungu ametupa? The one and only problem is ccm,katika hili la kudai tanganyika mtatusamehe. Hata green guard wazid idadi ya wananchi...
  17. L

    Tanganyika imerudi

    Ndyo tanganyika huru irudi.
  18. L

    Warioba alitoa maoni yake, sio maoni ya watanzania wala ya tume

    Wewe ndo umevimbiwa! Kwa jinsi ulivo na akili ndogo nashauri usijaribu kumchalenge warioba kwa sababu uwezo wake wa kufikiri upo juu mithili ya mlima kilimanjaro we hata level ya kichuguu hujafika
  19. L

    Kikundi cha watu kilitumiwa kupiga kura ya aina ya muundo wa muungano katika vituo mbalimbali

    Hotuba ya warioba haijibiwi na wahuni kama nyie utaifa kwanza(ccm kwanza)maana hatujui utaifa upi! Njaa mnayo nyie mnaopiga domo bila hoja,hamna tofauti na wapige debe. Ccm ovyo kabisa
  20. L

    warioba serikali 3 umeotoa wapi? wapeni zanzibar nchi yao

    Kwa mtu aliyekuwa na majibu ya muundo wa muungano kichwan mwako isingekuwa rahisi kumwelewa warioba. Warioba alisema wazanzibar wote katika swala la zanzibar kuwa nchi hawakugawanyika. Wale wa ccm damu walisema zanzibar lazima iwe nchi na wa cuf hvohvo. Sijui kama rundo la wastaafu litasaidia...
Back
Top Bottom