Search results

  1. G

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma leo Tarehe 13 Mei, 2015

    Mbunge wa Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya TAMISEMI, akitoa mchango wa kamati yake kwenye bajeti ya waziri mkuu, ameichallenge serikali ya ccm kutazama upya kama kuna haja ya kuwa wizara ya viwanda na biashara isiyofanya biashara, wizara ya maendeleo ya jamii isiyoendeleza jamii, wizaya ya...
  2. G

    Kigwangala: Bashe alihongwa na mabwana zake hela za kuwahonga wapiga kura Igunga

    Hivi kati ya Kigwangalla na Dr. Slaa, nani ana nafuu zaidi kwenye Urais?
  3. G

    Kigwangallah alishawahi kumkaimu Rais

    Hivi kwa nini watu wanamuandama namna hii Kigwa? Anawatisha ama wanamuogopa?
  4. G

    Japo ni Dakitari, na Mwanasiasa Mzuri, Dr. Kigwangalla Ni Mweupe Masuala ya Katiba

    Sasa Pasco kosa liko wapi? Kigwangala alikuwa anampa taarifa Tundu Lissu kwa kusema uongo Bungeni. kwa kuwa Kigwangala anathibitisha kuwa wahanga wa mapinduzi walifanya ratification ya sheria hiyo hiyo na ndiyo maana siku wanakuja kwenye Bunge la Muungano, kwa mujibu wa profesa shivji, Rais...
  5. G

    Dakika 5 za Dk. Kigwangwalla na dakika 12 za Mh. Tundu Lisu kabla ya kukatishwa

    TAARIFA YA KAMATI NA. 4 YA BUNGE MAALUM KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ________________________ 1.0 UTANGULIZI Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa mujibu wa Kanuni ya 32 ya Kanuni za Bunge Maalum za Mwaka 2014, Kamati Namba 4...
  6. G

    URAIS 2015 - Dr. Hamisi Kigwangalla Kujitosa kwa Style Hii?

    Kuna watu wana ndoto za ajabu sana na watu wa aina hii hufika mbali. Watanzania tungekuwa makini sana kama badala ya kuwabeza na kuwakejeli tungewatazama kwa umakini na pengine hata kuwahoji na kuwapima ili siku ikiwa walau tujue tuna mtu wa namna gani na anayesimamia nini
  7. G

    Mwanzilishi wa CUF Mzee Mapalala ampigia debe Kigwangalla Urais!

    Jamani, tunakoelekea hata Godbless Lema na Lusinde nao watatangaza nia. Huyu Kigwangalla na rafiki yake January wanadhani kupewa Ubunge tu ndiyo wameishatosha kuwa Rais?? kweli?
  8. G

    Wasifu (CV) wa January Makamba

    jameni hebu nisaidieni kuna uhusiano wowote kati ya uwezo wa mtu darasani na uwezo na umakini wake kwenye uongozi? mana kumekuwa na watu wengi wengi ambao wamekuwa wakifanya harakati za chini chini za kuutaka Urais wa nchi yetu. wengine tunawafahamu namna ambavyo hawako makini toka utotoni...
  9. G

    For Serious Discussants Only: How Do We Address the Following Challenges?

    Mjadala mzuri, watu wanamsifia sana huyu kijana siku hizi na namna anavyoendesha siasa zake
  10. G

    Urais wa Tanganyika: Vijana hawa tuwatazame sana

    Kuna maneno ya chini chini yanasemwa kuhusu Urais wa Tanganyika endapo katiba mpya itapita ikiwa na muundo wa serikali 3, ya Tanzania, ya Zanzibar na ya Tanzania bara (ambapo maoni kwenye duru mbalimbali yanasema jina liwe Tanganyika badala ya Tanzania bara). inavyoonyesha wengi watapenda kuwe...
  11. G

    Kigwangalla atangaza nia kuutaka Urais 2025!!!

    hebu cheki hiyo Hamisi Kigwangalla @hkigwangalla BASTOLA 02: Hii ndiyo story ya Bastola Nzega! Uongo mtupu. youtu.be/ra9jho-kHVQ via @YouTube Source: wavuti.com - wavuti
  12. G

    Kigwangalla atangaza nia kuutaka Urais 2025!!!

    kuna mtu kapost video yake. ni kweli jamaa ana maneno mazuri inaonesha yuko makini na ni spika mzuri mwenye mvuto. ofisini kwetu bosi wangu mmoja ni wa Nzega na huwa anamfagilia sana huyu mbunge wake anasema anafanya kazi nzuri sana jimboni na uwakilishi bungeni
  13. G

    Kigwangalla atangaza nia kuutaka Urais 2025!!!

    kwenye ile barua ya maganga masanja amejaza fomu anaitwa Bashir, kwamba alibadili jina kwenda Bashe ili lisound la kinyamwezi
  14. G

    Uhamiaji wanafanya nini? Kumbe Hussein Bashe si Raia!

    Maganga Masanja amefanya kweli tena, ameleta document zingine tena ofisini kwetu, nitazibandika hapa nikifanikiwa kuzipata. huyu jamaa ni kiboko sijui ana maslahi gani kwenye hili suala. naona wakubwa wanajadili kisha wanaachana bila maamuzi
  15. G

    Kigwangalla atangaza nia kuutaka Urais 2025!!!

    Dkt. Kigwangalla: 2025 nitagombea Urais; Story ya bastola? Uongo mtupu! - wavuti.com “Kwa hakika dunia inakuwa mahala pabaya pa kuishi, si kwa sababu ya watu wabaya, bali kwa sababu ya ukimya wa watu wazuri. Watu safi na wazuri kama mimi, japokuwa tuko wachache, ni lazima tujipange na tusimame...
  16. G

    Uhamiaji wanafanya nini? Kumbe Hussein Bashe si Raia!

    mimi mwenyewe huyu mchambuzi aliyefuatilia swala la bashe amenishangaza kwa nini kafanya hivi ila nikabaki na maswali nikasema hivi ni kwa nini mtu anayejiamini kuwa ni raia ataenda kuomba uraia? nadhani kuna ukweli sana kwenye maelezo ya huyu maganga masanja maana ameweka pia hadi vielelezo...
  17. G

    Hamis Kigwangalla ndani ya Kyela kwa Mwakyembe... CCM kunani?

    hichi kitabu hakipo mkuu ulifeli kiingereza nini wewe??
  18. G

    Hamis Kigwangalla ndani ya Kyela kwa Mwakyembe... CCM kunani?

    na wengine umewasahau Mtutura, Hilda Ngoye, Sugu moto chini, Tizeba, Kilufi, Zambi, Lembeli, Kabati, Ummy Mwalimu, naona kundi kubwa hili sijui wanapanga nini hawa , tuwaache wasindikizane mwisho wao
  19. G

    Dk. Mwakyembe afunguka! Aeleza mkakati wa kumuua ulivyopangwa...

    hahahaaaaa walikuwepo wabunge wengi tu kwa nini mmemuona sugu peke ake . ilitoka jana tbc1 pia
  20. G

    Uhamiaji wanafanya nini? Kumbe Hussein Bashe si Raia!

    Leo kuna barua nimeikuta ofisini kwetu ikijadiliwa na wakubwa, ni kutoka kwa mdau mmoja wa Nzega anayejiita Maganga Masanja amemwaga data za uraia wa Basha nimeisoma nikashangaa yaani mpaka mtu agombee nafasi kubwa ndiyoi haya yanajulikana, vipi angeingia mpaka akatawala nchi tungefanyaje...
Back
Top Bottom