Search results

  1. mamkindi

    Macafem suppliments

    please kwa yeyote anayefahamu macafem suppliments inapatikana wapi anijulishe.
  2. mamkindi

    Viungo vya mwili kufa ganzi: Elewa Chanzo, Tiba na mambo muhimu ya kuzingatia

    Tuliwonda, nashukuru kwa ufafanuzi wako angalau nimepata mwanga
  3. mamkindi

    ushauri tafadhali

    kwa kawaida huwa ninapata hedhi baada ya siku 27 au 30, nimajaribu kama miezi mitatu kupata ujauzito ila naona hola. naombeni ushauri hapo ni siku zipi sahihi za kupata ujauuzito. pia naweza kutumia multvitamin bila kuapata ushauri wa daktari.
  4. mamkindi

    Bado nampenda

    pole sana mumy, atlast umekubali kumpenda mumeo. zidisha maombi ninaamini ipo siku mambo yatakuwa sawa. kumbe na huku umo?
  5. mamkindi

    ushauri please!

    ok sasa naweza kufahamu anapatikana sehemu gani au hospt gani?
  6. mamkindi

    ushauri please!

    Gynaecologist ndio wakina nani na wanahusika na nini?
  7. mamkindi

    ushauri please!

    thanks nawasubiri kwa hamu sana
  8. mamkindi

    ushauri please!

    Nina tatizo la kutokuwa na mzunguko wa hedhi ambao ni regular, kuna wakati unakuwa baada ya siku 26, 27,28,29,30,na 33 kwa kifupi naweza kuwa na mzunguko mfupi au mrefu na hauna mpangililio. kwa sasa nimefikilia hatua ya kutaka kupata mtoto, nishaurini wanaJF nifanyeje au ni siku zipi naweza...
  9. mamkindi

    ushauri please

    yeah nimeweka wazi ili nipate mawazo mbalimbali
  10. mamkindi

    ushauri please

    Sindo nidokeze kidogo ili nisije kuuvaa mkenge
  11. mamkindi

    ushauri please

    Snowhite hapo umenena
  12. mamkindi

    ushauri please

    Preta unanifurahisha sana kwa hiyo niendelee naye hata kama hana respond nzuri kwangu kisa kumuona Obama
  13. mamkindi

    ushauri please

    naelewa ila huyu hatupo ofisi moja bali huwa tunaonana maeneo haya na pia yeye yupo company tofauti na mimi
  14. mamkindi

    ushauri please

    asante sana maana huyo wa mtandaoni sijawahi hata kumwona na pia mpaka 2014 ndio arudi
  15. mamkindi

    ushauri please

    thanks sana kwa ushauri
  16. mamkindi

    ushauri please

    Nina mahusiano na mtu ambaye tumekutana kwenye mtandao na hatujawahi kuonana, mwanzo tulikuwa tunawasiliana vizuri sana kwa skype, cha ajabu imefika kipindi mawasiliano yamekata na visa vya hapa na pale. hapa ninapofanyia kazi kuna kijana amekuwa akinifuatilia na sasa ni miezi mitatu na...
  17. mamkindi

    sihitaji kuolewa je ni tatizo?

    my dear Latifa usikate tamaa kama umepangiwa kuolewa utaolewa tu mumy. mie ndio nimetimiza 30yrs ila sina hofu sababu najua kila kitu kinapangwa na Mungu. Kuwa na subira
  18. mamkindi

    nahitaji ushauri wenu wana mmu

    Pole sana kaka kwa matatizo yaliyokukuta cha msingi kaa nao chini na uwe mnyeyekevu uwaulize tatizo ni nini? Pili msisahau kuchek AFYA ZENU sababu hapo kuna mzunguko wa watu 6 na huwezi kujua wapi utajikwaa.
  19. mamkindi

    ushauri

    nashukuru sana kwa kunitoa wasiwasi.
Back
Top Bottom