Search results

  1. dorcas1234

    Wife kanishitaki polisi

    Felix Nijuavyo mimi wanawake tu wavumilivu sana sana sana na mwanamke kabla ya kuchukua hatua huanza na kusema, ikifika mahali akachulua hatua kama huyu mwanamke ujue KASHACHOKA navitimbwi vya huyo bwana.
  2. dorcas1234

    Ndoa hizi zisikieni tu

    hilo nalo neno maana wadada wa sasa wanvopenda kuolewa,hata ukimuambia ukweli kuhusu jamaa yaani hawaelewagi as long as jamaa katangaza ndoa baaaasi.....akifika huko ndio sasa utumwa wa hiyari unapoanzia cc The Boss.
  3. dorcas1234

    tujifunze kupanga, kuchagua na uvumilivu!!!!!!

    Nikweli mvumilivu hula mbivu lakini sio wakati wote,,,,,,mi nilivumilia lakini matokeo yake nakala zilizooza.........so unavuumilia lakini usitegemee kula zilizoiva wakati wote !!!!
  4. dorcas1234

    Hii wenzangu huwa mnakabiliana nayo vipi?

    Nawengine walivokosa haya,,,,,,,,hawakawii kusema mmemtoa muhanga[kumchezea] ili familia ineemeke!
  5. dorcas1234

    Kwa nini ndoa nyingi huingia mitafaruku?

    wandamu wa sasa wanaangalia sana utu wa nje,hawajui kuwa hizo ni nakshi tuuuuuuu! lakini ukweli uko katika utu wa ndani yamtu
  6. dorcas1234

    Namna ya kupenda tena

    alafu anadanganya eti hata hapendi,kupenda hakuishagi bana!
  7. dorcas1234

    Nahitaji Mwanamke Anayehitaji Kuridhishwa Kimapenzi

    naona jamaa ndo kazi yake uwiiiii!
  8. dorcas1234

    Nahitaji mke wa ndoa utani humu tuache

    ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kazi hiyooooo! lakini unamkatisha tmaa bana muache huenda akapata ila awe makini sana!
  9. dorcas1234

    Swali kwa wapendanao tu!

    Maswali yanini tena wakati kila mmoja anajua alichofuata hapo?ni kupiga kimya maisha yanaendelea,atakaye umia roho na kuona yamemshinda awe wakwanza kufunga viragoooo!
  10. dorcas1234

    Swali kwa wapendanao tu!

    Mwisho wandoa ?? unajuaje na huyo kicheche uliyenaye anawangapi baada ya wewe?
  11. dorcas1234

    Mwanamke aliyetayari kwa ndoa

    kuwa makini kaka matapeli ni wengi mno hapa,lakini lililo la msingi mtangulize Mungu aakupe kilicho chema,hata hivo usikae na kusubiri sana wakuPM,na wewe chukua hatu ya kuperuzi peruzi thread za nyuma kuna wadada wengi waliotuma maombi unaweza kuwaulizia huenda Mungu akawa upande wako na...
  12. dorcas1234

    Atakae kuwa tayari kuwa Mke

    Umeonaa eee KUWEDA? kuna watu wana viherehere vya majibu utazani sijui ninis sijui,ilimradi tu aonekane nayeye kachangia.
  13. dorcas1234

    Mwanamke mwenye miaka 30-40 anatakiwa

    uwiiiii,ayaaaaa! kumbe mwisho 40? mi nina 41 vipi ntakufaa?
  14. dorcas1234

    Nani anafahamu kuhusu social credit company?

    Habari za asubui wana jamii, leo asubuhi katika ukurasa wangu wa FB nimekuta kuna mtu ameniambia kuhusu mkopo unaotolewa na SOCIAL CREDIT COMPANY kulingana na utapeli uliozagaa naomba mwenye kufahamu au anaejua ukweli au ambaye amewahi kunufaika na taasisi hii naomba tujuzane kwa maelezo zaidi...
  15. dorcas1234

    Tatizo langu ni nini?

    anatakiwa kujua kuwa hakuna mkamilifu chini ya jua!
  16. dorcas1234

    Tatizo langu ni nini?

    Jamani haya maneno mengine wengine mbona mwakosa hekima? kwani hakuna neno lingine la kusema mpaka umwambie ....AKAMUOE MUNGU?[/B][/FONT]
  17. dorcas1234

    Size ya mdomo

    umeona mkuu ee? kuna watu wanataka kulifanya hili jukwaa kama CHOO CHA STENDI lo!
  18. dorcas1234

    Umewahi kushuhudia hii?

    Habari wana jamvi, naomba kuuliza,hivi siku hivi bado kuna ile hali ya kuweka pingamizi kanisani kwa ajili kijana/mwanadada wasioane? Nilichoshuhudia wiki mbili zilizopita ndicho kilichonisukuma kuleta hoja hapa jamvini.Kuna harusi moja nilishuhudia eneo fulani sitalitaja hapa,sasa wakati...
  19. dorcas1234

    Jamani naombeni ushauri juu ya hili

    hayo mambo yako kwa wenzetu(waislamu) ndo wanasemaga kuwa unafunga ndoa na watu wawili.lakini wakristo hatuna hiyo.
  20. dorcas1234

    Jamani naombeni ushauri juu ya hili

    Ukiona hivyo,ujue hao kwa nje walikuwa wanajifanya wapendwa(wameokoka/walokole) sasa wanaona hiyo mimba itawafehesha na kwani jamii iliyowazunguka inajua hawabanjuani kumbe wanafanya kwa siri,na kama ndivyo ona shetani alivowaumbua.
Back
Top Bottom