Search results

  1. M

    Serukamba aliwahi kuomba uraia wa Tanzania au aliidanganya kuwa ni mtanzania

    kama mama yake yupo ilikuwaje akachangia ziwa moja na zitto kabwe
  2. M

    Scrap metal! Mv liemba 99 yrs old today, too dangerous to serve the public!

    mheshimiwa chilisos naomba nikuulize umeipanda lyemba mara ngapi na vp umegunduwa kama imechoka au kuzeeka sana
  3. M

    abiria wa precision wanusurika kifo kgm

    lakini uwanja wa kgm upo unapanuliwa na kuwekewa lami kwenye run way
  4. M

    abiria wa precision wanusurika kifo kgm

    kuna habari pricion air imeshindwa kuruka baada kupasuka matyre na kuacha run way hakuna alieumia
  5. M

    Ndege za Abiria zakatisha anga la Libya baada ya kifo cha dikteta Gaddafi

    sawa nia yako ilikuwa ni kutufahamisha kama umepanda ndege hongera
  6. M

    Ni miaka 1003 sasa tangu afariki mtaalumu wa fizikia ya hesabu

    binafsi sishangai wakristo wa tanzania kujifanya hawatambui mishango ya kielimu ya waislam hata america alianza kupambana na wazungu dhidi ya ubaguzi na kudai uhuru wa watu weusi alikuwa MALCOM X lakini kwakuwa alikuwa mwislam kafunikwa then tunapewa martin luthaking inakuja kweli ii
  7. M

    Mlinzi anachek tv kwny rendo

    kama sikosei mleta mada ni muha
  8. M

    Mh Mbunge Ahmed Shabiby ni mkwepa kodi!

    dua la kuku jipange vizuri tena ubane makalio hasa
  9. M

    Chuo Kikuu cha Dodoma ni cha nani?

    ni cha brown yule anaetetea muswaada wa kanisa wanaume kwa wanaume waowane
  10. M

    Majambazi sugu wauawa

    habari na hoja mchanganyiko elewa ulipo
  11. M

    SMS za uwongo juu ya mionzi ipitayo leo usiku (Cosmos Rays Hoax)

    Hoax Alert: Cosmic Rays from Mars Entering Earth « Journey to the Stars
  12. M

    SMS za uwongo juu ya mionzi ipitayo leo usiku (Cosmos Rays Hoax)

    yaseer kwa nini usiingie google ukapata ukweli
  13. M

    Msaada:Vita ya dunia

    kaaazi kweli kweli
  14. M

    Raisi wa jamhuri wa muungano wa tz jk wa pili unayajua haya

    sasa ndugu yangu bulesi hebu nambie ungekuwa wewe ndio kiongozi ungepambananao vp mfumuko wa bei hebu panga bajeti bubu hapo tuone
  15. M

    Raisi wa jamhuri wa muungano wa tz jk wa pili unayajua haya

    lakini burundi wana mfumuko mkubwa wa bei kushinda tz je na kule ccm ndio iinatawala kule ndugu zangu acheni ukweli ubakie ukweli mfumuko wa bei umeikumba karibu dunia nzima
  16. M

    Jamani anayejua dawa ya kuumwa na Nge

    chanja alipoumwa kisha bandika jiwe la nyoka kama unalo j
  17. M

    Ndege ya Air Tanzania yapata ajali ikiwa na abiria 35 Kigoma, hakuna vifo

    mbona umekuwa mkali kama umemwagiwa petrol kusema akili ya kuambiwa changanya na yako au kusemj ndege sio basi la msanga haya mi ndio nimeanzisha thread ifute sasa uanzishe yako
Back
Top Bottom