Elimu inayotolewa nchi hii haiendani kabisa na rasilimali zilizopo katika nchi, elimu yetu inatufubaza akili kwa makusudi na manufaa ya watu wachache, Ni elimu ya kulipwa laki 3 vibaruani, Tunatengeneza jam kubwa ya wasomi wasioweza kung'amua matatizo kwa sababu ya elimu yetu Ni kama Mental...
Siwachukulii poa lkn bologna amekua na form nzuri lately, amekua akipata matokeo MAZURI kwa timu kubwa so leo hata draw alikua ana uwezo wa kutoa Sema ndo mpira tena
Mkuu, Kula mkeka Ni portion ndogo kati ya Ile mingi inayoliwa, we mwenyewe kwenye mikeka yako Kuna lost Ngapi? Je lost zoote tukizileta humu si tutaonekana Mawakala? Afu odds zenyewe nlizokula Ni 6 tu lkn nlizoliwa Ni nyngi..

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.