Search results

  1. Murashani GALACTICO

    Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Tanzania na DRC Kupitia Ziwa Tanganyika (Karema-Moba Au Lagosa-Kalemie)

    Muda sio mwingi KIVU itajitenga. Pk atafanya annexation ya taifa la KIVU na kutengeneza taifa kubwa la HIMA
  2. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Long balls long passes tunamaliza game
  3. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Barca alikula chuma 2 kwa moja. Maestro luca maduara alimiliki dimba vizuri sana
  4. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Leo barca yupo kwetu. Alipokuwa kwao tulimaliza kazi vyema
  5. Murashani GALACTICO

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Tactic ile ile ya man city msimu jana ndo ile ile aliyokuja nayo jana. Hadi sub alivyokuwa anafanya pep ni kama zile zile za mwaka jana ukiacha ya DOKU. Ni kwamba maswali aliyoyatoa kwenye mtihan wa mwaka jana pep kwa ancelot ndo yale yale ameyarudisha tena. Yalitushinda mwaka jana ila mwaka huu...
  6. Murashani GALACTICO

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Well said. Ngoja nitafute ile video niweke hapa pep akisema hayo maneno
  7. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    1 day before don CALRO alisema anakwenda kumaliza game kwa technique aliyoitumia mwaka 2014 kama alivyomtumia SAMI KEDHIRA. Hopefully VALVERDE ambaye jana kapewa man of the match na BELLIGHAM walibeba hilo jukumu. Mmtake radhi bellingham wazee ile game jama cityzens walikuwa OFFENSIVE sisi...
  8. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mashabiki mandazi ndo hawa sasa. Tangu lini kiungo anacheza defensive umuone ana gaa gaa na mupira. Hivi huyu ni madrid mwenzetu au n wazee wa livescore. Grow and learn football tactics au tukupeleke uzi wa akina arsenal dogo. Jana kroos kacheza defensive sana na akina camavinga sijui kama...
  9. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hatuna haja ya kiungo mkuu camavinga na tchou watamaliza izo kazi believe me
  10. Murashani GALACTICO

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Ukiwa shabiki wa barca ukose tuu furaha nikushangae. Being barca fan wewe ni shabiki wa 1. Barca 2. Man city 3. Atletico madrid 4. Buyern munchen 5. Chelsea 6. Ajax 7. Liverpool 8. Any anti madrid club ni yenu...... Aseee mkose tuu furaha for no reason
  11. Murashani GALACTICO

    Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

    Paka mafuta mgando mengi ya kutosha sehemu za mapajani kwenye kona kona humo na usivae nguo za ndani nyingi. Vaa chache ikiwezekana vaa ambazo ni loose na sio tight
  12. Murashani GALACTICO

    Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

    Ubora wa barabara huko MPANDA sasa ivi mpunga na mchele ni bei sana tofauti na zamani kipindi cha barabara mbovu. Nenda sengerema kijiji cha BUKOKWA utanikumbuka gunia la mpunga hadi elfu 30 .
  13. Murashani GALACTICO

    Iran ndani hakukaliki, hofu kote, serikali inatumia nguvu nyingi kuaminisha hali shwari

    As longer as IRAN ni taifa lenye wayahudi wengi basi mission na operation za chini chini zitapigwa kwa kutumia raia wa IRAN wenye asili ya kiyahudi. Tahadhari kwenye masoko na mikusanyiko popote pale TEHRAN. Nakumbuka kule BEIRUT bandarini kulikuwa na meli imejaza mapipa ya AMMONIUM NITRATE...
  14. Murashani GALACTICO

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mioyo ya barca fans ipo kwa man city 😄😄😄
  15. Murashani GALACTICO

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    FC Barcelona 6–1 Paris Saint-Germain F.C. was the result of the second leg of a UEFA Champions League tie which occurred on 8 March 2017 at the Camp Nou in Barcelona. FC Barcelona overcame a four-goal deficit in the second leg of their 2016–17 UEFA Champions League round of 16 tie against Paris...
  16. Murashani GALACTICO

    Barcelona yapata kipigo cha aibu nyumbani, yapigwa na PSG magoli 4-1

    FC Barcelona 6–1 Paris Saint-Germain F.C. was the result of the second leg of a UEFA Champions League tie which occurred on 8 March 2017 at the Camp Nou in Barcelona. FC Barcelona overcame a four-goal deficit in the second leg of their 2016–17 UEFA Champions League round of 16 tie against Paris...
  17. Murashani GALACTICO

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nakumbuka barca vs psg refa alikuwa man of the match wakasherekea msimu fulani wa UCL. Leo refa kawa man of the match tena wanalia. Kisasi ni hapa hapa duniani
  18. Murashani GALACTICO

    Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

    Nilishasema SAUDIA, ISRAEL, JAPAN, S.KOREA, KUWAIT, TAIWAN , HONG KONG ndio machawa wakubwa wa USA pale ASIA bila kumsahau INDIA. TAKE A NOTE
  19. Murashani GALACTICO

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Any casualty so far upande wa ZION??????
Back
Top Bottom