Na anayechaguliwa sehemu mbili hakuna namna ataenda zote mbili, atachagua moja na hiyo nyingine itakuwa wazi na atachukuliwa mmoja wa wale waliokuwa kwenye reserve list. Kwa hiyo bado secretariat ya ajira wako fair. Kwa hiyo mtoto wa maskini atapata tu kama alifanya vizuri interview yake.
Kazi aliyopewa Zito ni kuhakikisha anakiua chama cha CDM na viongozi wa chama mnalijua hili vizuri kuliko hata mimi na hiyo kazi bado ajaikamilisha. Yoote hayo anayoyafanya ni kujaribu kuprolong mgogoro ili Chama kisifanye kazi zake na badala yake kishughulikie mgogoro. Ushauri wangu ni kuwa...
Kwa mwandishi makini anashauriwa awe na uelewa wa fani anayoichunguza ili kuepusha kutoa mambo ambayo hayana maana. Mwandishi wa makala hii anatakiwa ashitakiwe na jamii ya madaktari kwani hajaitendea haki na kama wanania ya kueleza uozo wa hali ya matibabu hapa nchini ni vizuri wakawahusisha...
Kikwete alisema anaorodha ya wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya ambao ni vichuguu kwa hiyo mwakyembe akamuombe bosi wake hiyo list ya vichuguu ili avishughulikie kuliko kushughulikia kumbikumbi wakati huo huo raisi anawasihi waathirika wa dawa za kulevya kuacha kutumia dawa hizo wakati...
Anayeua sio polisi ila ni raisi kikwete na serikali yake kwa hiyo usitegemee police wakamatwe. Kama police wanaua bila raisi kuweka wino ungeona wanavyoshughulikiwa na dola. Ukiua bila kutumwa na raisi hata dakika tano haziishi utakuwaumeshakamatwa na kushughulikiwa.
Kwa CV hiyo msimlaumu maana hajui atendalo, CV inaonesha amebadilisha sana vyama na hii kwa wataalam wa afya ya akili ya binadamu wanaweza wakasema mtu huyu ana "Mania". Anahitaji ushauri wa kitabibu ili ajitambue kuwa ni mgonjwa ili aende akatibiwe.
Wazee wetu walipigana kumuondoa mkoloni na kuiletea nchi yetu Uhuru, sisi watanzania wa leo tunalalamika tuuu, sasa ni wakati wa kuikomboa nchi yetu kutoka katika mikono ya maghaidi CCM na serikali yake, watanzania tuungane tuiondoe serikali hii dhalimu madarakani sasa hivi kwani haitusaidii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.