Search results

  1. J

    CCM mmeridhika na Livingstone Lusinde?

    Dawa ya huyu jamaa ipo jikoni,2015 ccm hawata mpandisha jukwaani,cdm wakae kimya wasijali wapotezee,najua akili yake ahifikirii ataendelea ila kuna siku itafika,za mwizi ni 40. Napata wasiwasi anaendesha vipi familia yake kama anaweza kukaa jukwaani nakutukana hivi,hiii ilikuwa pia mbinu ya...
  2. J

    Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

    Wabunge wa CCM wengi wababaishaji Hata Hoja Muhimu kama Hii hawaungi mkono,Ila na wasiwasi wengi wao hawajui kilicho wapeleka Mjengoni zaidi ya Maslai yao Binafsi,Pongezi kwa jembe Mnyika.....piga kazi huko mbele tutakupatia Nchi hii uiongoze.
  3. J

    JK anamuandaa Edward Lowasa kuwa rais mwaka 2015

    Lisemwalo lipo,kama halipo laja,Naunga Mkono Hoja Hii inawezekana inaukweli Percent flani,Ila kama itakuwa Hivi bora tufanye mapinduzi Kama wenzetu Mali!Umefika Wakati sasa tuamke Watranzania!!Hawajamaa wanalindana na ukweli ndo huo!!Leo JK akikubali amwachie mtu mwingine Kiti itakuwa balaaaaa...
  4. J

    Cdm live on startv ijumaaa

    Taarifa nilizonazo hivi sasa source startv,watarusha matangazo ya moja kwa moja ijumaa kutoka arumeru,hii ni fundrising kwaajili ya kamanda wetu nasari,mungu ibariki tanzani mungu ibariki cdm.........!!
  5. J

    Vifo vya viongozi vyenye utata

    Mkapa Kalikologa Mwenyewe,Maneno yake hayana Nyuma wa mbele,Kiboko Baba wa Vicent ni ndugu damu damu na Nyerere,hata leo hii ukienda Butiama Uliza mtu yoyote anamjua Kiboko,Ujinga wa CCM waliumia sana Kuona Vicent Nyerere Kwenda Upinzani CDM....Tena CCm wakae Makini ndani ya CCM kuna makamanda...
  6. J

    CCM muondoeni mh lusinde livingstone kwenye kampeni arumeru

    Acha atukane hana lolote,siku tukichukuia Nchi hii Hutu Lusinde atakuwa wa Kwanza kuchapwa viboko,Hana lolote Mavi ya Kuku tuuuu!!tutashinda tuuu Makamanda
  7. J

    TBC aibu tupu

    Tido Muhando alianzisha Shirika Hili kwa Moyo wake wote,na Mwelekeo Ulikuwa unaoneka,alifanya Kionekane Chombo cha Walipa Kodi,lakini hivi sasa amewekwa **** mmoja pale kwakutetea maslai ya serikali tuuuu!!Ila Ukombozi waja Tumeichoka TBC kwangu ni Marufuku kuangalia Station Hii!! Taarifa...
  8. J

    Kwa hotuba hii ya Rais, Tujiandae na mgomo mkubwa wa madaktari

    Hapa Serikalii Kupitia Kwa Rais ndo wanaleta Siasa Kwenye swala la Msingi!kaongea na madaktari alafu anawageuka Kwa Wananchi kwa Kudanganya,Mimi naamini serikali hii tiatia maji sana!!Tunaongozwa na watu Bogazzzz sijapata Kuona!!!Kwa ili simuungi Mkono hata Kidogo JK washauri wake wanafiki...
  9. J

    Mbowe: CHADEMA hatutaki Ruzuku kwani ni utumwa kwa vyama vya siasa nchini

    Wana JF CDM walichokifanya Leo ni hususani hili lakuchangia Kampeni ni Kitu cha kutia faraja,sasa Ukombozi utakuja,Kuna watu tena wana CCM wanapesa zao nyingi sana ila wanaogopa kuchangia Chadema Kuogopa kuambiwa watakuwa wanasaliti chama chao,sasa kwa njia Hii tunawaomba wafanye kuichangia...
  10. J

    Zitto Kabwe kuzindua kampeni za CHADEMA Mwanza.

    Udiwani ni uwakilishi wa Wananchi,sasa iweje useme Zito Kajishusha!!Mbona Mkapa Anakwenda Arumeru,Na Igunga alikwenda,Kwa nini hukusema Kajishusha,Changia mada Kwakufikiria Bwana usilete mawazo yako finyu hapa,nyie ndo Makada wa CCM msio fikiria!! Majembe yetu jitaidini kata ya Kirumba ni...
  11. J

    Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

    Itakuwa kaibiwa na Mtu alikuwa anampa mipaja!!aya sasa kazi kwake!!Waziri mzima hujiheshimu!!
  12. J

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Hello ndugu wana jf, hii ni mara yangu ya kwanza kuchangi kwenye mtandao wetu huu,kwanza nawapongeza wana jf kwa ushirikiano mzuri na members wenu, yote hii ni harakati za kulijenga taifa letu,bila kuwasahau wahusika wakuu wa jf nawapeni hongera sana,mungu awajalie muwe na afya njema muendelee...
Back
Top Bottom