Search results

  1. P

    Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

    Aliye anzisha hoja amelenga kututaarifu juu ya mkutano wa CDM kibaha, tujadili hilo na tusimjadili Mnyika
  2. P

    Nnauye: Mbowe wataje watakaohamia chadema; Lema awasilisha rufaa ya kurasa 985

    Nape umechaguliwa kama kasisi MZOEFU UTAKAYE ONGOZA MAZISHI YA CCM 2015, Usiwe na shaka, kwenye mazishi watakuwepo wanachama watiifu watakao vumilia hadi mwisho kuona kifo na mazishi bila shaka wewe huwezi kuhama, au vipi!
  3. P

    Nnauye: Mbowe wataje watakaohamia chadema; Lema awasilisha rufaa ya kurasa 985

    Inasemekana Nape mwenyewe ameomba kujiunga na CDM
  4. P

    M4C yaingia Moshi Vijijini Cyril Chami ahaha

    Komu ni chaguo sahihi, ni mpiganaji asiye choka, amekisapoti chama kwa muda mrefu, namfahamu vizuri uwezo wake, tunamhitaji mtu wa namna hii kuweza kubalansi mambo ndani ya vijana wa CDM.
  5. P

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Hongere sana Lisu kwa ushindi wa kishindo; tumewapiga bao kwenye kura na sasa mahakamani tena, imekula kwao. God is great!
  6. P

    Zitto alipuka tena bungeni

    Spika wa bunge ni msiba kwa taifa, afadhali mafisadi kumi kuliko kuendelea kumnyamazia mama huyu, hatua lazima zianzishwe mara moja kumshughulikia!
  7. P

    Baada ya CCM kuzidi kukimbiwa, Nape atoa kauli hii

    Nape , unatuboa, wewe umekosa mwelekeo kabisa, kwanza haijulikani kama bado unapiga vita ufisadi /mafisadi, ni wewe uliye kwenda Arumeru Mashariki ukapanda jukwaa lilelile la kifisadi pamoja na fisadi nambari wani nchini, leo uta waambia nini wenye nchi? Vijana unao zungumzia wewe ni wale ulio...
  8. P

    Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    Tusitegemee miujiza kutoka wabunge wa ccm, hawa wote ni waongeaji wakubwa lakini si watendaji, tuwasubiri tuone mwisho wa janja yao.
  9. P

    Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    tUSITEGEMEE MIUJIZA KUTOKA WABUNGE WA CCM, HAWA WOTE NI WAONGEAJI WAKUBWA LAKINI SI WATENDAJI, TUWASUBIRI TUONE MWISHO WA JANJA YAO.
  10. P

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Nafikiri kila chama kina tafuta jinsi ya kuji nasua na sunami ya CDM, WATAKAO CHELEWA ITAKULA KWAO
  11. P

    Umaarufu wa Kanumba unanitia shaka !

    Baada ya tukio hili, jamii ya watanzania tunatakiwa kuamka usingizini na kuanza kuwa macho na watu wanao pewa umarufu usio stahili. Tunatakiwa kuanza kuwatetea watoto wote wanao ingizwa katika sanaa na kudaki haki yao ya kulindwa dhidi ya mafisadi/wabakaji kama marehemu S.K. , ni wakati ssa wa...
  12. P

    Umaarufu wa Kanumba unanitia shaka !

    Watetezi wote wa haki za watoto na wapenda haki wote Tanzania, huu ni wakati wa kuonyesha kwa vitendo uchungu wetu juu ya udhalimu huu kwa watoto wetu wote bila kujali watetezi wa uchafu wanasema nini
  13. P

    Umaarufu wa Kanumba unanitia shaka !

    NAPATA SHIDA KUUKUBALI UMAARUFU WA KANUMBA Napata shida moyoni kumkubali Kanumba kama mtu muungwana na aliye stahili heshima aliyo pewa ya kuzikwa namaelfu ya watu na tena viongozi wetu wa kitaifa. Nataka kujipambanua mapemahapa kuwa sina shida na mtu yeyote Yule maarufu haswa kama umaarufu...
  14. P

    CHADEMA (cdm)

    Peoples power hadi nursery schools, hii ni hatari
  15. P

    Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    Anaruhusiwa kusema atakacho ili mradi asivunje katiba ya nchi na ya chama chake, lakini angenyamaza ange hesabika ana hekima zaidi
  16. P

    Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

    CDM hatudharau hoja yeyote inayo letwa mbele yetu, kwa hili bado tupo sambamba naye, subiri uone siasa
  17. P

    Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

    Amejileta mwenyewe asiachiwe pumzi, vijembe viendelee hadi akimbie, siku ya kufunga kampeni asionekane tena, fisadi mkubwa!
  18. P

    Wanaharakati wameonyesha njia, tuwaunge mkono

    Ushiriki wa wanaharakati katika hili la madaktari haukuwa ni katika vikao kama unavyo jaribu kufikiri hapa, hapana, mchango wa ukombozi unaweza ukawa wa jinsi yeyote ile hata kwa wewe kuandika mada zinazogusa wengine na kuwaamsha katika usingizi wa pono walio lazwa baada ya kupewa dozi za kidumu...
  19. P

    Wanaharakati wameonyesha njia, tuwaunge mkono

    Napenda kuwapongeza sana na kuwaunga mkono wanaharakati wote waliojitokeza katika kuandamana na kuonyesha hisia zao kali dhidi ya serikali wakati wa mgomo wa madaktari takribani wiki mbili zilizopita sasa. Ukombozi wa nchi yetu unahitaji watu kama hawa na kwa pamoja tutaweza kulikomboa taifa...
  20. P

    Dr. Mwakyembe anahitaji watetezi nje ya CCM

    Huu ndio msimamo tunaotakiwa kuupeleka kwa kila mpenda haki wa nchi hii. Tuweke chini itikadi za vyama vyetu sasa na tuinuke kama watanzania kupigania haki za wale wote wanaofanyiwa vitendo visivyo sawa ili kuwanyamazisha.
Back
Top Bottom