jamani mimi ambalo linanikera ni tabia ya baadhi ya taasisis za elimu kutoza wanafunzi ada kwa pesa za kigeni especially dolla...hatujui nni kinaendelea pamoja na mwongozo ambao serikali ilishatoa lakini tabia hiyo bado inaendelea...mfano mzuri ni katika chuo cha uhifadhi wa wanyamapori mweka...
ebu tusidanganyane...ajira zinapatikana kwa watoto wa vigogo tuu....ebu nendenei BOT mkajionee ni nani wapo huko....kutoa takwimu si kitu chochote.....tuangalieni hali halisi bwaaanaaa.............!
...huyo mgombea wao mwenyewe alituhumiwa kwa rushwa kura za maoni halafu bila aibu yeye anakwenda kumnyanyua mikono...ndo yaleyale ye igunga,bariadi,monduli 2010..halafu wanasema ni watu safi....nani safi kweli maana hata yeye mwenyewe ni mtuhumiwa....yani ccm sasa hawana hata mtu mwenye mvuto...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.