Search results

  1. M

    Uko wapi uhuru wa mahakama kwenye rasimu ya katiba mpya????

    Ukisoma hii article 151 (1) "Jaji Mkuu atateuliwa na Rais kutoka miongoni mwamajina ya watu watatu yaliyopendekezwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama na kabla ya kuapishwa jina lake litawasilishwa Bungeni kwa ajili ya kuthibitishwa na Bunge". unaweza ukazani mahakama imewekwa huru kutoka kwenye...
  2. M

    Serikali ya CCM au watu wa Mtwara yupi ni mhaini?

    wana JF nimejaribu kujiuliza mambo yafuatayo sijapata jibu sahihi naomba mawazo yenu. 1)serikali imeshusha standard ya ufaulu wanafunzi darasa la saba mwaka huu na kudanganya uma ufaulu umeongezeka, je huu ni uzalendo? na si uhaini? 2)serikali ili binafsisha reli ya kati kwa mwekezaji asiye na...
  3. M

    viongozi wazalendo wako wapi....??

    jamani kile kizazi cha viongoz wa wananchi na viongoz wanaojali maslhi ya taifa kama "J.k nyerere na moringe sokoine (tanz), Kwame Nkurumah (Ghana),Madiba (SA),Paul Kagame (Rwanda)" hakipo tena au bado hakijakomaa au watanzania hatujakipa nafasi kwa kuogopa mabadiliko..????
Back
Top Bottom