Search results

  1. De Queensess Najuh

    Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

    Habari zenu, nahitaji viungo kama Parsely,Pilipili manga, Mdalasini,Hiliki, karafuu na garlic powder kutoka mashambani, msaada kwa yeyote anaefahamu wakulima ningependa kuchukua direct kutoka huko. Asanteni
  2. De Queensess Najuh

    Nahitaji mashine ya kusaga viungo

    Habari wadau, 1. Je wapi naweza pata machine ya kusagia viungo vya chakula? Specification zake na bei yake, nahitaji isiyozidi laki3. 2. Kiwanda chenye kutoa vifungashio vya viungo na pilipili, na pia kupata customized seal. Kama ni Kenya naombeni contact zao. Picha nime attach ni aina ya...
Back
Top Bottom