Search results

  1. M

    Wanaharakati Helen Kijo-Bisimba na Ananilea Nkya wakamatwa na polisi

    This is Tanzania nchi yenye AMANI!!! ila sielewi amani kwa viongozi wetu inamaanisha nini?
  2. M

    Hii ndo mistari ya bongo fleva iliyoandikwa na mwanafunzi wakati akifanya mitihani ya kidato cha 4

    inasikitisha sana..lakini kama uongozi husika hauta chukua hatua kwa hao watoto itakua ndo mchezo wao maana wanajua hakuna wa kuwaadabisha. Necta wanajua hao watoto ni wa shule gani so wawatoe hadharani kwenye vyombo vya habari ama sivyo na hawa wa form six nao watakuja na verse zao..:hatari:
  3. M

    Hodi wana jf

    habari zenu wakuu,naomba mnipokee katika jukwaa ,nilikua msomaji mzuriii sana wa hili jukwaa sasa nimeingia kamili ili nifurahi zaidi ya nilivokua nafurahishwa na wana jf.nilikua najipanga si mnajua huku huingii kama huna hoja ...poa pamoja sana.:poa
Back
Top Bottom